Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Sitaki koo yoyote kwenye taifa la kidemokrasiaUlitaka ziwe koo ngapi zenye especial status?
Umewahi kusikia kuhusu Lords?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki koo yoyote kwenye taifa la kidemokrasiaUlitaka ziwe koo ngapi zenye especial status?
Umewahi kusikia kuhusu Lords?
Kwa nini??Sitaki koo yoyote kwenye taifa la kidemokrasia
Iwapo Rais wa Iran atakataa Kusaini sheria hiyo atakuwa ameingia kwenye mgogoro na Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei. Pia ikumbukwe Asilimia 72 ya wanawake wa Iran hawaungi mkono vazi la hijab.
Hispania ilipigwa kura ya kuamua ufalme urejeshwe mwaka 1947,Sitaki koo yoyote kwenye taifa la kidemokrasia
Wairan walifanya mapinduzi ya kiislam 1979Hispania ilipigwa kura ya kuamua ufalme urejeshwe mwaka 1947,
Norway mwaka 1905 walipiga kura ya kuamua ufalme uendelee.
Ugiriki mwaka 1974 walipiga kura ya ufalme kurejeshwa.
Hizi zote ni nchi za kidemkorasia.
Kwa sababu upatikanaji hauhusishi mchakato wa kidemokrasia zaidi ya udikteta wa kurithishana madaraka ya nchi kwa koo moja.Kwa nini??
Well ufalme wa uningereza umekuwa limited kwenye maamuzi ya bunge. They simply hata kuchagua waziri mkuu hawana hiyo powerHata kwa familia ya kifalme ya Uingereza ni hivyo hivyo lakini hujawahi kuwaita madikteta.
Mfalme au malkia wa Uingireza ana madaraka gani??Kwa sababu upatikanaji hauhusishi mchakato wa kidemokrasia zaidi ya udikteta wa kurithishana madaraka ya nchi kwa koo moja.
Hata ufalme siku bunge likipitisha jambo lililo kinyume na matakwa ya kifalme yatakataliwa.Mwaka 2011 Khameni alifutulia mbali uamuzi wa Rais Ahmadinejad wa kumfukuza kazi mkuu wa ujasusi Heydar Moslehi.
Head of state wa U.K ni nani ? Head of Armed forces wa U.K ni nani ?Well ufalme wa uningereza umekuwa limited kwenye maamuzi ya bunge. They simply hata kuchagua waziri mkuu hawana hiyo power
UK Walijua mapema kuwa likit hao watu
Head of state, Head of armed of forcesMfalme au malkia wa Uingireza ana madaraka gani??
Hata Ayatollah aliwekwa madarakani kwa mapinduzi wairan wenyewe.Hispania ilipigwa kura ya kuamua ufalme urejeshwe mwaka 1947,
Norway mwaka 1905 walipiga kura ya kuamua ufalme uendelee.
Ugiriki mwaka 1974 walipiga kura ya ufalme kurejeshwa.
Hizi zote ni nchi za kidemkorasia.
Head of state wa Israel, Ethiopia na India ni nani??Head of state wa U.K ni nani ? Head of Armed forces wa U.K ni nani ?
Kwani Iran Ayatollah ana mmalaka ya kumchagua raisi?Well ufalme wa uningereza umekuwa limited kwenye maamuzi ya bunge. They simply hata kuchagua waziri mkuu hawana hiyo power
UK Walijua mapema kuwa likit hao watu
Well marangapi bunge la uingereza limefanya maamuzi bila hizo baraka?Kwani Iran Ayatollah ana mmalaka ya kumchagua raisi?
Hakuna maamuzi yeyote yenye msitakabali wa nchi bila baraka za kifalme hizo nyingine ni tumba tu.
Sawa.Well marangapi bunge la uingereza limefanya maamuzi bila hizo baraka?
Ile familia ni ceremonial now , haina that power kiasi hiko