Rais wa Iran agoma Kusaini sheria kali ya mavazi

Iwapo Rais wa Iran atakataa Kusaini sheria hiyo atakuwa ameingia kwenye mgogoro na Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei. Pia ikumbukwe Asilimia 72 ya wanawake wa Iran hawaungi mkono vazi la hijab.
 
Hispania ilipigwa kura ya kuamua ufalme urejeshwe mwaka 1947,
Norway mwaka 1905 walipiga kura ya kuamua ufalme uendelee.
Ugiriki mwaka 1974 walipiga kura ya ufalme kurejeshwa.

Hizi zote ni nchi za kidemkorasia.
Wairan walifanya mapinduzi ya kiislam 1979
 
Well ufalme wa uningereza umekuwa limited kwenye maamuzi ya bunge. They simply hata kuchagua waziri mkuu hawana hiyo power

UK Walijua mapema kuwa likit hao watu
Head of state wa U.K ni nani ? Head of Armed forces wa U.K ni nani ?
 
Hispania ilipigwa kura ya kuamua ufalme urejeshwe mwaka 1947,
Norway mwaka 1905 walipiga kura ya kuamua ufalme uendelee.
Ugiriki mwaka 1974 walipiga kura ya ufalme kurejeshwa.

Hizi zote ni nchi za kidemkorasia.
Hata Ayatollah aliwekwa madarakani kwa mapinduzi wairan wenyewe.
 
Nchi za Magharbi ziko bize na ugunduzi, na sasa wako kwenye AI. wakati Bunge la Iraq limepitisha Ngono na Watoto na Bunge la Iran limepitisha Unyanyasaji dhidi ya Wanawake.
 
Well ufalme wa uningereza umekuwa limited kwenye maamuzi ya bunge. They simply hata kuchagua waziri mkuu hawana hiyo power

UK Walijua mapema kuwa likit hao watu
Kwani Iran Ayatollah ana mmalaka ya kumchagua raisi?

Hakuna maamuzi yeyote yenye msitakabali wa nchi bila baraka za kifalme hizo nyingine ni tumba tu.
 
Well marangapi bunge la uingereza limefanya maamuzi bila hizo baraka?
Ile familia ni ceremonial now , haina that power kiasi hiko
 
Sawa.
The King is the only person to declare war and peace.
 
Back
Top Bottom