Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Droupadi Mumu,Taye Atske Selassie.Head of state wa Israel, Ethiopia na India ni nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Droupadi Mumu,Taye Atske Selassie.Head of state wa Israel, Ethiopia na India ni nani??
Hata ma-Ayatollah wasingekuwa wajanja na wakatili kuliko shah katika kudhoofisha upinzani na kuminya kusambaa kwa mawasiliano/taarifa wangekuwa wameshapinduliwa muda mrefu tu.Hata Ayatollah aliwekwa madarakani kwa mapinduzi wairan wenyewe.
Ndio wakina nani hao??Droupadi Mumu,Taye Atske Selassie.
Kwahiyo kufunika kichwa ni sawa na kukaa uchi, huyo ayatola anapogegedq hao madem anawagonga wakiwa na nguo? aache ujinga basiHUU UZI WAGALATIA WATACHANGIA SANA MAANA WANABUBUJIKWA NA MACHOZI YA FURAHA WAISLAMU WAKIKAA UCHI
Kama hana nguvu ya kufanya maamuzi katika taifa husika how comes analelewa kwa gharama kubwa kiasi kile na pesa za wavuja jasho?Ni lini mara ya mwisho uliwahi kusikia mfalme au malkia amekataa kutoa hizo baraka kwa jambo lolote ambalo bunge au serikali imeamua??
Ww umejuaje kama huwa yanafanyika bila baraka zake au na ww moja wapo ya wabunge?Well marangapi bunge la uingereza limefanya maamuzi bila hizo baraka?
Ile familia ni ceremonial now , haina that power kiasi hiko
Head of state wa Canada na Australia ni nani?Head of state wa U.K ni nani ? Head of Armed forces wa U.K ni nani ?
Kwa nini JK analipwa 80% ya mshara aliokuwa nao akitawala wakati hafanyi maamuzi yoyote ya nchi tena??Kama hana nguvu ya kufanya maamuzi katika taifa husika how comes analelewa kwa gharama kubwa kiasi kile na pesa za wavuja jasho?
Nimekuuliza lini mfalme au malkia wa Uingereza aliwahi kukataa kuidhinisha maamuzi yoyote ya bunge au serikali mpaka sasa hujaleta jibu unaruka ruka tu.Ww umejuaje kama huwa yanafanyika bila baraka zake au na ww moja wapo ya wabunge?
Kwanini waziri mkuu anapo chaguliwa ni lazima aithinishwe na mfalme?
Mbona maamuzi ya Uingereza kuondoka umoja wa ulaya mpaka yaliidhinishwa kwa saini yake na sio ya waziri mkuu?
Katika falme zilizo baki hapa duniani kuna ufalme uliojaa damu za mamilioni ya watu na uporaji kuzidi ufalme wa Uingereza?Hata ma-Ayatollah wasingekuwa wajanja na wakatili kuliko shah katika kudhoofisha upinzani na kuminya kusambaa kwa mawasiliano/taarifa wangekuwa wameshapinduliwa muda mrefu tu.
Nje ya mada.Katika falme zilizo baki hapa duniani kuna ufalme uliojaa damu za mamilioni ya watu na uporaji kuzidi ufalme wa Uingereza?
Ufalme wa Uingereza kwa mwaka unaliingizia taifa karibu paundi milioni 500 za mapato ya utalii.Kama hana nguvu ya kufanya maamuzi katika taifa husika how comes analelewa kwa gharama kubwa kiasi kile na pesa za wavuja jasho?
Droupadi Mumu,Taye Atske Selassie ni akina nani au vitu gani?Huwa unazingatia unacho uliza ?
Kwann hayo maamuzi wasiyapitishe na yakaanza kufanya kazi bila ya saini ya mfalme?Nimekuuliza lini mfalme au malkia wa Uingereza aliwahi kukataa kuidhinisha maamuzi yoyote ya bunge au serikali mpaka sasa hujaleta jibu unaruka ruka tu.
Nje ya mada kivip?Nje ya mada.
Technically the monarchy can and has..., but practically its very hard...Nimekuuliza lini mfalme au malkia wa Uingereza aliwahi kukataa kuidhinisha maamuzi yoyote ya bunge au serikali mpaka sasa hujaleta jibu unaruka ruka tu.
Sitetei ufalme wa Uingereza bali naelezea ufalme wa Uingereza kama ulivyo leo hii.Na mm ndo nikakuambia kuwa hata huo ufalme unao utetea hapa misingi yake imejengwa katika ukatili wa na uporaji wa kutisha.
Unajua maana ya ceremonial? Wanabariki as part of tamaduni, but waziri mkuu anae chaguliwa na wananchi kwa kura hawana mandate ya kumu engua kama wangekuwa na mamlaka hayoWw umejuaje kama huwa yanafanyika bila baraka zake au na ww moja wapo ya wabunge?
Kwanini waziri mkuu anapo chaguliwa ni lazima aithinishwe na mfalme?
Mbona maamuzi ya Uingereza kuondoka umoja wa ulaya mpaka yaliidhinishwa kwa saini yake na sio ya waziri mkuu?