Rais wa Iran agoma Kusaini sheria kali ya mavazi

Hata Ayatollah aliwekwa madarakani kwa mapinduzi wairan wenyewe.
Hata ma-Ayatollah wasingekuwa wajanja na wakatili kuliko shah katika kudhoofisha upinzani na kuminya kusambaa kwa mawasiliano/taarifa wangekuwa wameshapinduliwa muda mrefu tu.
 
Ni lini mara ya mwisho uliwahi kusikia mfalme au malkia amekataa kutoa hizo baraka kwa jambo lolote ambalo bunge au serikali imeamua??
Kama hana nguvu ya kufanya maamuzi katika taifa husika how comes analelewa kwa gharama kubwa kiasi kile na pesa za wavuja jasho?
 
Well marangapi bunge la uingereza limefanya maamuzi bila hizo baraka?
Ile familia ni ceremonial now , haina that power kiasi hiko
Ww umejuaje kama huwa yanafanyika bila baraka zake au na ww moja wapo ya wabunge?

Kwanini waziri mkuu anapo chaguliwa ni lazima aithinishwe na mfalme?
Mbona maamuzi ya Uingereza kuondoka umoja wa ulaya mpaka yaliidhinishwa kwa saini yake na sio ya waziri mkuu?
 
Kama hana nguvu ya kufanya maamuzi katika taifa husika how comes analelewa kwa gharama kubwa kiasi kile na pesa za wavuja jasho?
Kwa nini JK analipwa 80% ya mshara aliokuwa nao akitawala wakati hafanyi maamuzi yoyote ya nchi tena??
 
Ww umejuaje kama huwa yanafanyika bila baraka zake au na ww moja wapo ya wabunge?

Kwanini waziri mkuu anapo chaguliwa ni lazima aithinishwe na mfalme?
Mbona maamuzi ya Uingereza kuondoka umoja wa ulaya mpaka yaliidhinishwa kwa saini yake na sio ya waziri mkuu?
Nimekuuliza lini mfalme au malkia wa Uingereza aliwahi kukataa kuidhinisha maamuzi yoyote ya bunge au serikali mpaka sasa hujaleta jibu unaruka ruka tu.
 
Hata ma-Ayatollah wasingekuwa wajanja na wakatili kuliko shah katika kudhoofisha upinzani na kuminya kusambaa kwa mawasiliano/taarifa wangekuwa wameshapinduliwa muda mrefu tu.
Katika falme zilizo baki hapa duniani kuna ufalme uliojaa damu za mamilioni ya watu na uporaji kuzidi ufalme wa Uingereza?
 
Kama hana nguvu ya kufanya maamuzi katika taifa husika how comes analelewa kwa gharama kubwa kiasi kile na pesa za wavuja jasho?
Ufalme wa Uingereza kwa mwaka unaliingizia taifa karibu paundi milioni 500 za mapato ya utalii.
 
Nimekuuliza lini mfalme au malkia wa Uingereza aliwahi kukataa kuidhinisha maamuzi yoyote ya bunge au serikali mpaka sasa hujaleta jibu unaruka ruka tu.
Kwann hayo maamuzi wasiyapitishe na yakaanza kufanya kazi bila ya saini ya mfalme?
Kitendo cha mpaka aidhinishe kitu fulani ndo kipite ndo mamlaka yenyewe, ina maana kama ana mamlaka ya kuidhinidha kitu ndo kiwe halali na mamlaka ya kilikataa anayo.

Mfano waziri mkuu ili atambulike ni lazima aidhinishwe na mfalme, ina maana waziri mkuu mamlaka yake amepewa kwa saini ya mfalme.

Ebu tuoneshe kifungu kwenye sheria za Uingereza kinacho sema ni marufuku kwa mfalme kukataa kuidhinisha jambo fulani.
 
Nje ya mada.
Nje ya mada kivip?
Ww si umesema Ayatollah yupo madarakani kwa sababu ya ukatili.
Na mm ndo nikakuambia kuwa hata huo ufalme unao utetea hapa misingi yake imejengwa katika ukatili wa na uporaji wa kutisha.
 
Nimekuuliza lini mfalme au malkia wa Uingereza aliwahi kukataa kuidhinisha maamuzi yoyote ya bunge au serikali mpaka sasa hujaleta jibu unaruka ruka tu.
Technically the monarchy can and has..., but practically its very hard...
  • Charles I War against the Parliament.
  • William IV appointed a Prime Minister - Sir Robert Peel - against the wishes of the House of Commons in 1834.
Ingawa Falme nyingi ni symbolically na ni kama una mshale mmoja wa kutumia ukiutumie ni vigumu kumuua adui na uki backfire kumbuka wewe ndio utaondoka...
 
Na mm ndo nikakuambia kuwa hata huo ufalme unao utetea hapa misingi yake imejengwa katika ukatili wa na uporaji wa kutisha.
Sitetei ufalme wa Uingereza bali naelezea ufalme wa Uingereza kama ulivyo leo hii.
 
Ww umejuaje kama huwa yanafanyika bila baraka zake au na ww moja wapo ya wabunge?

Kwanini waziri mkuu anapo chaguliwa ni lazima aithinishwe na mfalme?
Mbona maamuzi ya Uingereza kuondoka umoja wa ulaya mpaka yaliidhinishwa kwa saini yake na sio ya waziri mkuu?
Unajua maana ya ceremonial? Wanabariki as part of tamaduni, but waziri mkuu anae chaguliwa na wananchi kwa kura hawana mandate ya kumu engua kama wangekuwa na mamlaka hayo
 
Back
Top Bottom