Tetesi: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo

Wadau Hamjamboni nyote?

Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa shambulizi dhidi ya Israel laweza leta anguko kubwa la uchumi wa nchi hiyo na hivyo kupelekea kusambaratika kwa Dola hilo

Taarifa kamili hapo chini:
---

Report: Iran’s president Pezeshkian urges Khamenei to avoid attack on Israel

Iranian President Masoud Pezeshkian has implored the country’s supreme leader to avoid a direct attack on Israel, warning an escalation could lead Israel to devastate infrastructure and energy targets and cripple the economy, according to a report in Iran International.

The report, which cited anonymous sources with knowledge of the matter and which could not be independently confirmed, said Pezeshkian told Ali Khamenei that a war could deepen citizens’ discontent with the regime and even bring about Iran’s collapse.

The report says Khamenei was noncommittal at the meeting.
 
Ayatolah kabaki pekee yake nilisema humu😆 Kilemba chake pia hakiamini.

ayatollah_ali_khamenei__benjamin_kikkert.jpg
 
Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo

Wadau Hamjamboni nyote?

Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa shambulizi dhidi ya Israel laweza leta anguko kubwa la uchumi wa nchi hiyo na hivyo kupelekea kusambaratika kwa Dola hilo

Taarifa kamili hapo chini:

Report: Iran’s president Pezeshkian urges Khamenei to avoid attack on Israel

Iranian President Masoud Pezeshkian has implored the country’s supreme leader to avoid a direct attack on Israel, warning an escalation could lead Israel to devastate infrastructure and energy targets and cripple the economy, according to a report in Iran International.

The report, which cited anonymous sources with knowledge of the matter and which could not be independently confirmed, said Pezeshkian told Ali Khamenei that a war could deepen citizens’ discontent with the regime and even bring about Iran’s collapse.

The report says Khamenei was noncommittal at the meeting.
Mnatuletea habari za fake afu we unajua kizungu kweli? Hebu rudia usome wameandika nini rudi shule
 
Kiingereza kimekuja na meli.

Urging and imploring si kuonya.

Urging ni kuomba na imploring ni kutafadhalisha.
 
Source? Acha ushamba, Israel anapigika lazima
 
Back
Top Bottom