Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Hivi sote humu ndani tunajuwa IRAN ndo taifa lenye wayahud wengi duniani. Sasa hatushangai huyu rais wa sasa wa IRAN akiwa ni myahudi au agent la MOSSAD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa muham mad aka allah Allah amecopy!Hakuna alicho copy nipe Qur'an wapi ime copy kwa Paulo yule kichaa alie ota kamuona Yesu 😄
Hii ni dhahir anaebisha ni Ashki majununHivi sote humu ndani tunajuwa IRAN ndo taifa lenye wayahud wengi duniani. Sasa hatushangai huyu rais wa sasa wa IRAN akiwa ni myahudi au agent la MOSSAD
An nisaa ni Hadith??Tatizo lako unaleta hadithi zote fake huoni aibu. Kuhusu Qur'an inaongelea mtu akiwacha mfano ulevi, uzinifu, na mambo mabaya akarudi kwa Mungu kwanini Mungu asimsamehe sa si bora Qur'an mtu anatubu nyie kwenu hakuna toba piga vitu tu, hata mashoga tafuna tu sababu mzigo wote mmetwisha Yesu 😄
Bibilia hio
Examples of love between people of the same gender in the Bible:
David and Jonathan. “After David had finished talking with Saul, Jonathan became one in spirit with David, and he loved him as himself.” (1 Samuel 18:1) David says of Jonathan: “Your love for me was wonderful, more wonderful than that of women.” (2 Samuel 1:26).
Ruth and Naomi - Ruth expresses her devotion to Naomi with, “Wherever you go, I will go; wherever you live, I will live. Your people will be my people, and your God will be my God . Where you die I will die, and there I will be buried. May the LORD deal with me, be it ever so severely, if even death separates you and me.” (Ruth 1:16-17).
The Centurion and his servant (Matt 8:5-10). The word used for “servant” here, “pais”, was commonly used to describe a servant who was a romantic partner of the master. [6]
Kweli mkuu hebu tujiridhishe ili siku nyingine waandike kwa evidence, fungua na usome hapo na wewe: Exclusive: Iran’s president implores Khamenei to avoid war with IsraelMnatuletea habari za fake afu we unajua kizungu kweli? Hebu rudia usome wameandika nini rudi shule
Tatizo lenu wakristo mmekalia Mtume Muhammad ka copy ka copy Mtume Muhammad mbona yuko wazi na Qur'an mbona iko wazi hakuleta yeye jipya amekuja kufikisha ujumbe walio kuja nao Mitume wote walio mtangulia na kuleta sheria mpya za Mungu na kuondoa ujinga alio leta Paulo.Hapa muham mad aka allah Allah amecopy!
👇👇
Kutoka:3:1-10
1 Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.
2 Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti; akatazama, na kumbe! Kile kijiti kiliwaka moto, nacho kijiti hakikuteketea.
3 Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.
4 Bwana alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.
5 Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.
6 Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.
7 Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;
8 nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.
9 Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
10 Haya, basi, nitakutuma sasa kwa Farao, ili upate kuwatoa watu wangu,
Baada ya ku-copy kawatupia hapa!
👇👇
T'AHA!.
وَهَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَىٰ(9)
Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى(10)
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ(11)
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى(12)
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ(13)
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
Source? Acha ushamba, Israel anapigika lazima
Hizo ni propoganda za US na Warabu hakuna sehemu Iran kasema hatupigj tena Israel. Afu hilo we unacopy hilo sio gazeti la Iran hao ni wapinzani wa Iran. We endelea kuwamini hao na America. Kipigo kinakuja tu huko Tela Aviv tena pale kwenye wizara ya jeshi na office zao muhimu.Kweli mkuu hebu tujiridhishe ili siku nyingine waandike kwa evidence, fungua na usome hapo na wewe: Exclusive: Iran’s president implores Khamenei to avoid war with Israel
Tuwekee Ushahidi Allah anamTuma muham mad ibn abd allah 👂Tatizo lenu wakristo mmekalia Mtume Muhammad ka copy ka copy Mtume Muhammad mbona yuko wazi na Qur'an mbona iko wazi hakuleta yeye jipya amekuja kufikisha ujumbe walio kuja nao Mitume wote walio mtangulia na kuleta sheria mpya za Mungu na kuondoa ujinga alio leta Paulo.
Qur'an 2.285 The Messenger has believed in what has been revealed to him from his Lord, and the believers as well. All have believed in Allah and His angels and His Books and His Messengers. “We make no division between any of His Messengers,” and they have said: “We have listened, and obeyed. Our Lord, (we seek) Your pardon! And to You is the return.”
Mafunzo ya Mitume yote ni yale yale Mungu ni mmoja na kusali, kutoa zakaa, kukatazaa mabaya na kuondoa shiriki ambayo Paulo kaileta kwa kusemaaYesu ni Mungu au ngo'mbe, nyoka, masanamu n.k. mkasema Mungu.
Qur'an 16.36 We did raise a messenger among every people, with the message: “Worship Allah and stay away from the Rebel (the Satan).” Then, there were some among them whom Allah guided, and there were others against whom deviation (from the right path) was established. So, travel on earth and see how was the fate of those who rejected (the prophets).
Si apige?! Kama ayatollah ana ubavu🙄😜Hizo ni propoganda za US na Warabu hakuna sehemu Iran kasema hatupigj tena Israel. Afu hilo we unacopy hilo sio gazeti la Iran hao ni wapinzani wa Iran. We endelea kuwamini hao na America. Kipigo kinakuja tu huko Tela Aviv tena pale kwenye wizara ya jeshi na office zao muhimu.
﴿وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا رَحْمَةً لِّلْعَالَمِينَ﴾Weka Ushahidi wa Aya ya Quran muham mad aka allah hukumu aliyotoa Kwa wanao tumia vutu.🎤
God sent Muhammad with truth (God's message to humanity), and as a blessing to the whole world (Q 39:33, and 21:107).Tuwek
Tuwekee Ushahidi Allah anamTuma muham mad ibn abd allah 👂
Sa we mulize America kwanini anaingilia show kama Israel ni wanaume hao ni mashoga na US anajua Israel atavurugwa vibaya ndio mmana kaja mbio mbio kuwakingia kifua 😄Si apige?! Kama ayatollah ana ubavu🙄😜
Ada ya mja hunena muungwana ni vitendo..
ww unapenda vita eeh??Hizo ni propoganda za US na Warabu hakuna sehemu Iran kasema hatupigj tena Israel. Afu hilo we unacopy hilo sio gazeti la Iran hao ni wapinzani wa Iran. We endelea kuwamini hao na America. Kipigo kinakuja tu huko Tela Aviv tena pale kwenye wizara ya jeshi na office zao muhimu.
Weka Ushahidi wa Aya ya Quran muham mad aka allah hukumu aliyotoa Kwa wanao tumia vutu.🎤﴿وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا رَحْمَةً لِّلْعَالَمِينَ﴾
[ الأنبياء: 107]
English - Sahih International
21:107 And We have not sent you, [O Muhammad], except as a mercy to the worlds.
Hizo hadithi za kanisani mmetunga hadithi nyingi aisay 😄Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa: Mtume (s.a.w) amesema, "Ye yote mwenye kutukana, basi huyo amejambiwa na Shetani katika Mdomo wake." (Fat'hul Baary J. 10, Uk. 176)
Na ushuzi wa shetani Hauna KATA tatu!
Umeangamia dogo😭😭😭
Kabaki na akina ritz tu humu JF.
Hizo Aya ulizoleta Hapo amesha jitangaza Kuwa yeye ni Mtume!God sent Muhammad with truth (God's message to humanity), and as a blessing to the whole world (Q 39:33, and 21:107).
ww huoni Hapo Kuwa Yahudi Anatisha Hadi kuliburuza Taifa kama USA!Sa we mulize America kwanini anaingilia show kama Israel ni wanaume hao ni mashoga na US anajua Israel atavurugwa vibaya ndio mmana kaja mbio mbio kuwakingia kifua 😄
Kama Hamas anatandikwa na mashoga basi hao Hamas ni midabwada wahed.....Sa we mulize America kwanini anaingilia show kama Israel ni wanaume hao ni mashoga na US anajua Israel atavurugwa vibaya ndio mmana kaja mbio mbio kuwakingia kifua 😄