Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
KATI YA AJENDA ILIYOKUWA IKIMTESA IRAM WALIAMBIWA KABLA YA MAZUNGUMZO YOYOTE AOMBE RADHI NCHI JORA. ALIZOZIPIGA TUENDELEE
HATIMAE
šØ Iran's President Masoud Pezeshkian apologised on Saturday to neighbouring countries for attacks launched during the Islamic republic's war with āIsraelā and the United States.
Read more in the comment section below š
MUNGU IBARIKI IRAN NA WATU WAKE
===
Rais wa Masoud Pezeshkian wa Iran ametuma ujumbe wa video kupitia televisheni ya taifa.
āNinaona ni muhimu kuomba radhi kwa nchi jirani zilizoshambuliwa,ā amesema.
āHatuna nia ya kuivamia nchi yoyote jirani,ā ameongeza, huku akitoa wito wa ushirikiano wa kikanda ili ākuleta amani na utulivu.ā
Pezeshkian ameongeza kuwa uamuzi wa uongozi umetolewa kwa majeshi ya nchi hiyo: ākuanzia sasa, msishambulie nchi jirani isipokuwa kama mtashambuliwa kwanza.ā
āWale wanaofikiria kutumia wakati huu kuishambulia Iran wasiwe vibaraka wa ubeberu,ā amesema rais huyo, akiongeza kuwa kuunga mkono Israel au United States āsi njia ya heshima wala uhuru.ā
===
The Iranian President Masoud Pezeshkian has just broadcast a video message on Iranian state television.
āI deem it necessary to apologise to neighbouring countries that were attacked,ā he says.
"We do not intend to invade neighbouring countries,ā he says, and calls for regional cooperation to "establish peace and calm".
Pezekshian adds that a leadership decision has been issued to the armed forces: āfrom now on, do not attack neighbouring countries unless attacked first.ā
āThose considering exploiting this moment to attack Iran must not become puppets of imperialism," the president says, adding that supporting Israel or the US is ānot a path to honour and freedom.ā
Source BBC