KATI YA AJENDA ILIYOKUWA IKIMTESA IRAM WALIAMBIWA KABLA YA MAZUNGUMZO YOYOTE AOMBE RADHI NCHI JORA. ALIZOZIPIGA TUENDELEE
HATIMAE
🚨 Iran's President Masoud Pezeshkian apologised on Saturday to neighbouring countries for attacks launched during the Islamic republic's war with ‘Israel’ and the United States.
Read more in the comment section below 👇
MUNGU IBARIKI IRAN NA WATU WAKE
===
Rais wa Masoud Pezeshkian wa Iran ametuma ujumbe wa video kupitia televisheni ya taifa.
“Ninaona ni muhimu kuomba radhi kwa nchi jirani zilizoshambuliwa,” amesema.
“Hatuna nia ya kuivamia nchi yoyote jirani,” ameongeza, huku akitoa wito wa ushirikiano wa kikanda ili “kuleta amani na utulivu.”
Pezeshkian ameongeza kuwa uamuzi wa uongozi umetolewa kwa majeshi ya nchi hiyo: “kuanzia sasa, msishambulie nchi jirani isipokuwa kama mtashambuliwa kwanza.”
“Wale wanaofikiria kutumia wakati huu kuishambulia Iran wasiwe vibaraka wa ubeberu,” amesema rais huyo, akiongeza kuwa kuunga mkono Israel au United States “si njia ya heshima wala uhuru.”
===
The Iranian President Masoud Pezeshkian has just broadcast a video message on Iranian state television.
“I deem it necessary to apologise to neighbouring countries that were attacked,” he says.
"We do not intend to invade neighbouring countries,” he says, and calls for regional cooperation to "establish peace and calm".
Pezekshian adds that a leadership decision has been issued to the armed forces: “from now on, do not attack neighbouring countries unless attacked first.”
“Those considering exploiting this moment to attack Iran must not become puppets of imperialism," the president says, adding that supporting Israel or the US is “not a path to honour and freedom.”
Source BBC