Rais wa Iran: Kulikuwa na mapungufu ya Kiusalama wakati wa vita na Israel

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,589
Reaction score
28,759
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel.

Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini Tehran hivi leo.

Ukosoaji binafsi wa aina hii ni nadra sana nchini Iran.

Wakati wa vita va siku 12 kati ya Iran na Israel, makamanda wa vyeo vya juu wa Iran waliuliwa katika makazi yao binafsi na vituo vya kijeshi na vinu vya nyuklia kushambuliwa.

Source: DW

1752781563111.jpg
 
Masudi Mibusha chupchup auwawe kibudu na myahudi na kwa sasa anauguza vidonda na ana mikovu ya kukung,utwa na myahudi na ndiyo maana anatoa ushuhuda maana hamna namna. Sasa watakuja wairani kobaaz mibusha wa mchambawima, makunduchi huku wakiwa wamepandisha pressure kisukari watakuambia Iran alishinda vita.🤣😂😅
 
Siku zote Iran huwa hafichi penye madhaifu.
Penye ukweli anasema.
 
Sio madhaifu Wairan wamebarikiwa na Allah uongo, walifikia kujidanganya kuwa wanauwezo wa kuweka sparing na Israel, hawana haja ya kusema wanamapungufu waliepigana nae kawazidi na hawatoweza wakubali tu waendeleze maisha kama nchi zingine, waachane na Uallah
 
Masudi Mibusha chupchup auwawe kibudu na myahudi na kwa sasa anauguza vidonda na ana mikovu ya kukung,utwa na myahudi na ndiyo maana anatoa ushuhuda maana hamna namna. Sasa watakuja wairani kobaaz mibusha wa mchambawima, makunduchi huku wakiwa wamepandisha pressure kisukari watakuambia Iran alishinda vita.🤣😂😅
Sema waisrael wengi wamekuwa vibudu na wengine mpaka leo hawajafukuliwa kwenye vifusi nchi nzima inanuka mizoga na wengine maelfu kwa maelfu wameikimbia nchi yao ya ahadi na kwenda cyprus
 
Tehran inanuka harufu za mizoga ya maiti za wairan waliouwawa kibudu na yahuuuuudiiii na ndiyo maana hata kobaaz mibusha ayatollah hahudhurii mazishi ya mizoga yake.
 
Hayo hawazungumzi, mpaka taarifa zitoke kwenye media za nje - Israel yenyewe imepiga marufuku media za ndani na za nje kutoa habari zozote za kweli kuhusu kipigo na hasara za infrastructures zao walizopata wanao jiita Taifa teule LA Mung.
 
Kila nchi ina utaratibu wake linapokuja suala la usalama ndiyo maana Tz kuna sehemu huruhusiwi kupiga picha na ni sehemu za kawaida sana mfano daraja la Tanzanite
 
Sio madhaifu Wairan wamebarikiwa na Allah uongo, walifikia kujidanganya kuwa wanauwezo wa kuweka sparing na Israel, hawana haja ya kusema wanamapungufu waliepigana nae kawazidi na hawatoweza wakubali tu waendeleze maisha kama nchi zingine, waachane na Uallah
Mashati ya vitenge saiv Bei gani mkuu?
 
Tehran inanuka harufu za mizoga ya maiti za wairan waliouwawa kibudu na yahuuuuudiiii na ndiyo maana hata kobaaz mibusha ayatollah hahudhurii mazishi ya mizoga yake.

Watu 600 kwa siku 12, ni wastan wa watu 50 kila siku!!
 
Back
Top Bottom