Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Mimi nazungumzia kuonyesha after effects zilizo sababishwa na vita -uharibifu WA infrastructures kwa mfano, kwa nini hawataki Dunia ione jinsi roketi za Iran zilivyo fanikiwa kuharibu mission critical infrastructure both za kijeshi na kiraia ambazo Waisrael walikuwa wanajitapa tapa kwamba zimewekewa ulizi madhubuti hata inzi awezi kuvisogelea,je, hicho ndicho tulikiona kwenye picha na video clips?? Jibu ni hapana.Kila nchi ina utaratibu wake linapokuja suala la usalama ndiyo maana Tz kuna sehemu huruhusiwi kupiga picha na ni sehemu za kawaida sana mfano daraja la Tanzanite
Watu wanao jiamini hawawezi kuficha umahili WAO, vita hii imedhilishia lwamba kumbe Israel ni chui wa karatasi (paper tiger) wana vimbishwa kichwa na Merikani, mfano: jana wamepiga mabomu ukanda wa GAZA ukabaki vifusi tu, kwa bahati mbaya Dunia imekaa kimya hisipokuwa Uturuki na leo asubuhi nilimsikia Trump akiilalamikia Israel kwa kuupiga mabomu kanisa LA kikatoliki huko Gaza, basi alihishia hapo hakusema chochote/kulaani Israel kuhusu GAZA yote kubwa raised to ground by Israel Air force, yuko kimya kabisa, kazi kumpa deadline Putin as if Putin ni mtoto mdogo, kasahau kabisa kwamba Urusi vile vile ni super power mpaka to equal or surpass America yenyewe.
Trump ajifunze kiheshimu viongozi wenzake Duniani, after all anajiona yeye ni nani hasa - nyie subirini muone Putin atakapo fikia hatua ya kujiridhisha kwamba hivi sasa "enough is enough" halafu muone kitakacho tokea, alicho kipata Hitler na jeshi lake lote na wapambe wake wengi wao waliotoka Ulaya mashariki na ndio hao hao wanao taka kuanzisha ***** ***** za kuanzisha vita na Urusi kwa mara nyingine tena wanajifanya kisahau vita bus 1939 -1945 hivi sasa wanachochewa na: Ufaransa,Ujerumani,Uingereza na, kwa bahati nzuri Urusi ilisha jipanga siku nyingi jinsi ya ku-deal NAO pindi akipata taarifa za kuaminika za kintellijensia kwamba NATO inataka kuivamia/shambulia Urusi ghafla, Putin ilisha wapa onyo NATO siku nyingi TU na juzi aliongezea kwamba nchi yoyote itakayo kubali kutumiwa na NATO kuweka silaha za kuishambulia Urusi nayo itachukuliwa hatua kali, binafsi naona WW3 imekwisha anzishwa kimya kimya.