Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Masudi Mibusha chupchup auwawe kibudu na myahudi na kwa sasa anauguza vidonda na ana mikovu ya kukung,utwa na myahudi na ndiyo maana anatoa ushuhuda maana hamna namna. Sasa watakuja wairani kobaaz mibusha wa mchambawima, makunduchi huku wakiwa wamepandisha pressure kisukari watakuambia Iran alishinda vita.🤣😂😅Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel.
Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini Tehran hivi leo.
Ukosoaji binafsi wa aina hii ni nadra sana nchini Iran.
Wakati wa vita va siku 12 kati ya Iran na Israel, makamanda wa vyeo vya juu wa Iran waliuliwa katika makazi yao binafsi na vituo vya kijeshi na vinu vya nyuklia kushambuliwa.
Source: DW
Au wairan wa Buza Kwa Mpalange.Kiufupi ni WA Iran wa mchongo🤣Sasa watakuja wairani kobaaz mibusha wa mchambawima, makunduchi huku wakiwa wamepandisha pressure kisukari watakuambia Iran alishinda vita.🤣😂😅
Siku zote Iran huwa hafichi penye madhaifu.Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel.
Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini Tehran hivi leo.
Ukosoaji binafsi wa aina hii ni nadra sana nchini Iran.
Wakati wa vita va siku 12 kati ya Iran na Israel, makamanda wa vyeo vya juu wa Iran waliuliwa katika makazi yao binafsi na vituo vya kijeshi na vinu vya nyuklia kushambuliwa.
Source: DW
Wao sasaSiku zote Iran huwa hafichi penye madhaifu.
Penye ukweli anasema.
Kitovu tena bibieIran alishinda vita kwa kuwapiga mazayuni(alisikika kibaka mmoja anaongea huku anajikuna kitovu).🤣🤣🤣
Sema waisrael wengi wamekuwa vibudu na wengine mpaka leo hawajafukuliwa kwenye vifusi nchi nzima inanuka mizoga na wengine maelfu kwa maelfu wameikimbia nchi yao ya ahadi na kwenda cyprusMasudi Mibusha chupchup auwawe kibudu na myahudi na kwa sasa anauguza vidonda na ana mikovu ya kukung,utwa na myahudi na ndiyo maana anatoa ushuhuda maana hamna namna. Sasa watakuja wairani kobaaz mibusha wa mchambawima, makunduchi huku wakiwa wamepandisha pressure kisukari watakuambia Iran alishinda vita.🤣😂😅
Kuwa makini unavyoandika.Kila unayemuona unahisi ni bibi?Kitovu tena bibie
Tehran inanuka harufu za mizoga ya maiti za wairan waliouwawa kibudu na yahuuuuudiiii na ndiyo maana hata kobaaz mibusha ayatollah hahudhurii mazishi ya mizoga yake.Sema waisrael wengi wamekuwa vibudu na wengine mpaka leo hawajafukuliwa kwenye vifusi nchi nzima inanuka mizoga na wengine maelfu kwa maelfu wameikimbia nchi yao ya ahadi na kwenda cyprus
Hayo hawazungumzi, mpaka taarifa zitoke kwenye media za nje - Israel yenyewe imepiga marufuku media za ndani na za nje kutoa habari zozote za kweli kuhusu kipigo na hasara za infrastructures zao walizopata wanao jiita Taifa teule LA Mung.Sema waisrael wengi wamekuwa vibudu na wengine mpaka leo hawajafukuliwa kwenye vifusi nchi nzima inanuka mizoga na wengine maelfu kwa maelfu wameikimbia nchi yao ya ahadi na kwenda cyprus
Kila nchi ina utaratibu wake linapokuja suala la usalama ndiyo maana Tz kuna sehemu huruhusiwi kupiga picha na ni sehemu za kawaida sana mfano daraja la TanzaniteHayo hawazungumzi, mpaka taarifa zitoke kwenye media za nje - Israel yenyewe imepiga marufuku media za ndani na za nje kutoa habari zozote za kweli kuhusu kipigo na hasara za infrastructures zao walizopata wanao jiita Taifa teule LA Mung.
Makini kama Joh,afu mi nilijuaga ni KeKuwa makini unavyoandika.Kila unayemuona unahisi ni bibi?
Unajuaje jambo au mtu ambaye haujawahi kumuona uso kwa macho?Makinika.Ukishindwa,JF wamekupa miongozo ya kuitana "mkuu" na wala si dada,kaka,mjomba au shangazi.Makini kama Joh,afu mi nilijuaga ni Ke
Mzee sio ishu ya Kiandikiana miparagraphUnajuaje jambo au mtu ambaye haujawahi kumuona uso kwa macho?Makinika.Ukishindwa,JF wamekupa miongozo ya kuitana "mkuu" na wala si dada,kaka,mjomba au shangazi.
Mashati ya vitenge saiv Bei gani mkuu?Sio madhaifu Wairan wamebarikiwa na Allah uongo, walifikia kujidanganya kuwa wanauwezo wa kuweka sparing na Israel, hawana haja ya kusema wanamapungufu waliepigana nae kawazidi na hawatoweza wakubali tu waendeleze maisha kama nchi zingine, waachane na Uallah
Am from Banana republic, ask anything kuhusu kilimoMashati ya vitenge saiv Bei gani mkuu?
Tehran inanuka harufu za mizoga ya maiti za wairan waliouwawa kibudu na yahuuuuudiiii na ndiyo maana hata kobaaz mibusha ayatollah hahudhurii mazishi ya mizoga yake.