Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂😂"Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya Serikali, ni makundi hayohayo yanageuka kusema Serikali ya Awamu ya Sita ufisadi umerudi, mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo na mambo yale hayakufanyika ndani ya Awamu ya Sita, yalifanyika huko nyuma gari bovu linaangushiwa Awamu ya Sita, sitakubali, sitakubali, niliapa kusimamia haki za Wananchi nitasimama nao nitasimama kutetea haki za Wananchi sitakubali"———Rais Samia akizindua maboresho ya gati (0-7) Bandari ya Dar es salaaam
Ameanza kwa kuwachamba.Anaichamba mihuni iliyopo kwenye chama chake.Mihuni itakuwa imenuna sana huko ilipo!Kwanini asiyashughulikie hayo makundi
Sasa kama wako hovyo mbona anawaacha tu waendelee kufanya mambo ya hovyo?
Maana kama wako hovyo halafu hawako kwenye utumishi, shida iko wapi?
Kama wako hovyo, badala ya kulalamika, awapige chini.
Astaghifirullah!Bibi tozo usituchoshe. Hatutaki drama.
Umetubomolea vibanda wamachinga kwanza nina hasira sana na wewe. Kaa kimya na ushungi wako.
Kama anawajua hao watu wa hovyo na mafisadi, why asiwashughulikie badala yake anahangaika na Mbowe?"Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya Serikali, ni makundi hayohayo yanageuka kusema Serikali ya Awamu ya Sita ufisadi umerudi, mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo na mambo yale hayakufanyika ndani ya Awamu ya Sita, yalifanyika huko nyuma gari bovu linaangushiwa Awamu ya Sita, sitakubali, sitakubali, niliapa kusimamia haki za Wananchi nitasimama nao nitasimama kutetea haki za Wananchi sitakubali"———Rais Samia akizindua maboresho ya gati (0-7) Bandari ya Dar es salaaam
MAMA JITAMBUE WEWE NI RAISI. KAULI ZA KIKE ZA KUCHAMBANA ACHANA NAZO. HAO UNAOWASEMA NI WANA CCM WENZAKO ITANENI KWENYE VIKAO VYENU VYA CHAMA MUONYANE."Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali"@SuluhuSamia Bandarini Leo https://t.co/2LreQmIlmkView attachment 2032536
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raisi anawachamba wapiga kura wakeAmeanza kwa kuwachamba.Anaichamba mihuni iliyopo kwenye chama chake.Mihuni itakuwa imenuna sana huko ilipo!
Watajuana wenyewe.Akimaliza mchambano yawezekana akawafungulia kesi za ugaidi.Huwezi jua.Tuwe watulivu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raisi anawachamba wapiga kura wake
Aoneshe makucha kidogo itapendezaMama wewe ni Rais, hebu onesha makucha ya uRais...