Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

Ninachoshangaa yy hakuwa sehemu ya serikali hiyo?Kama alikuwepo kwa nn hakuresign kuonyesha haiungi mkono serikali hiyo.kama hakujiuzuru basi wote walikuwa sehemu ya mambo haya.nimbaya kumtwiga mzigo mtu ambaye hatunaye Wala hawezi jitetea.wakati yupo wote walikaa kimywa na hata walikuwa machampioni wa kutoa kauli tata leo hii kageuka yy ndo alikuwa mbaya pekee yake
Good point
 
Bibi tozo usituchoshe. Hatutaki drama.

Umetubomolea vibanda wamachinga — Kwanza nina hasira sana na wewe. Kaa kimya na ushungi wako.

Bei za bidhaa ziko juu, gesi juu, mafuta juu, sukari juu.

Umeme wa mgao, maji tabu, umeua miradi ya umeme... Bwawa la Nyerere etc. Tozo kila mahali.

Umetuletea machanjo ya ajabu ajabu. YAANI WEWEEE.... i wish niku....
ushung unaingiliana vip angevaa wige je? ulitaka mabanda yajae kila mahali huko mijini.kila jambo na utaratibu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natoka nje ya hoja kidogo mnivumilie japo kutakuwa na mfanano kiasi.
Naamini mh. Madame SSH Nia yake ni njema Sana na anatamani Kila kitu anachoagiza kifanyiwe kazi yaani kitekelezwe Kwa ufanisi wake. Shida ni hao wateule wake wanaomwitikia na kumhakikishia utekezaji wa 100% naye anawaamini kumbe ni wanafiki na wachonganishi!
Kuna jambo la malipo ya watumishi wa umma waliopandishwa madaraja tangu 2016 na mawaziri wote watu yaani waziri wa fedha, tamisemi na utumishi walikiri kulifahamu hilo waliahidi kulimaliza. Aliagiza fungua litolewe tangu may mosi 2021 watumishi wale walipwe na mawaziri wale waliinamisha vichwa vyao mbele Kama ishara ya kusikia na kutii walichoagizwa kujifanya!
Just imagine Rais wa nchi anaagiza kazi ifanyike lakini mtekelezaji anamdindia, hii inaitwaje huko serikalini Kama sio uhaini na usaliti?
Huu ni mfano mmoja TU Kati ya mingi aliyoagiza na haikutekelezwa na Bado hao wateule wake wanazurura kwenye korido za ofisi yake kumwonyesha suti mpya waliyovaa siku hiyo naye anawachekea na huenda anawapongeza Kwa kupendeza!!
Aamue moja, ama asiwe anatoa maagizo kabisa na au awatimue wasiotii maagizo yake kwani wanamdharau!
Ikimpendeza afanye auditing ya fedha zile alizoruhusu kuwalipa watumishi wale ambao mostly ni walimu Kama zimechukuliwa na kuliwa kwani wamezoea Sana Hawa mawaziri kula fedha za walimu bila haya!
 
Huenda Tz kwa sasa hatuna rais, bali tuna picha ya rais wa kike!
Ni mwendo wa kuchambana tu.
 
Sasa hapo tatizo ni nani?
Je tatizo ni wateule wabovu walioteuliwa ma rais au tatizo ni rais aliyeteua watu wabovu na hawezi kuwawajibisha?
 
Tatizo ni waganga wa kienyeji walowavalisha mahirizi ya kumpumbaza Madame!
 
Sasa inatusaidia nini wananchi? Rais kama Rais unaogopa kutaja makundi hayo ili yafahamike? Sasa lawama za nn kama unawahifadhi na kuwaogopa?
JPM alikua jembe
 
Sasa kama wako hovyo mbona anawaacha tu waendelee kufanya mambo ya hovyo?

Maana kama wako hovyo halafu hawako kwenye utumishi, shida iko wapi?

Kama wako hovyo, badala ya kulalamika, awapige chini. Wananchi walalamike na rais naye alalamike? Mantiki ya uongozi inapotelea mbali.
Pengine ni wabunge- hawezi wapiga chini.
Au ni wananchama wenye nguvu chamani - hawa pia hawezi wapiga chini.
Dhamira yake aliitamka siku ya kwanza alipohutubia taifa baada ya msiba.
Kama kuna madudu yanaendelea ndio hao pyepye huko pembeni.

Hata wasipokuwepo kwenye utumishi ,maneno yao ni sumu kwani wanapandikiza upotofu akilini mwa watanzania, na tukipata watanzania wengi watakao amini huo uhuni matokeo yake ni mabaya sana.
 
Back
Top Bottom