Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

Hivi kuna kundi la ovyo zaidi ya kundi lililobuni kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe? Kesi ambayo imeivua nguo CCM na Serikali yake mchana kweupe kiasi tumefikia kuwajua hata wasiojulikana na mbinu zao?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapo mwisho hapo.....[emoji1787]
YOU WISH UM.......
 
Mama tumuombee adumu, amalize kipindi hiki na kile cha 2025. Alichokosea kabisa ni kudhani mfumo wa Dkt Magufuli ulikuwa mbaya. Alipaswa atembelee hiyo nyota japo kwa mwaka ili kupata somo. Ila kama kuna watu walimuua Dkt Magufuli na yeye wakamnyetishia kuwa asipotekeleza ya hao mafisadi watamuondoa basi kazi ipo. Ila Mama hana tamaa kabisa, ni mzalendo ila shida mifumo inakinzana. Angekubali kuendelea na mfumo wa Dkt Magufuli yaani mpaka sasa angakuwa hero.
 
Hana lolote uking'ata puliza ndio mtindo wa wachawi kuja kushtuka wametumaliza,
 
Mama yamemvuka madaraka.
Analalamika badala ya kuchukua hatuaa
 
wanaume wa dar wameanza kuwa wambea acha wasemwe
 
Aliyekuwa mkali (fake) na kutumbua hadharani aliyaacha hivyo hivyo na kuyaangalia huku akibadili na kuweka anaewajua

Tulishuhudia mabomba ya mafuta wame divert mpaka kwenye nyumba ya mtu
Mpaka leo hata mwenye nyumba hajulikani
Vichwa vya trains tumenunua kwa mwenyewe (hewa)
Hili ndio lilituacha midomo wazi
Muongo na mwizi ni mtu na mwanae
Huwezi kuviachanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…