Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #81
Good pointNinachoshangaa yy hakuwa sehemu ya serikali hiyo?Kama alikuwepo kwa nn hakuresign kuonyesha haiungi mkono serikali hiyo.kama hakujiuzuru basi wote walikuwa sehemu ya mambo haya.nimbaya kumtwiga mzigo mtu ambaye hatunaye Wala hawezi jitetea.wakati yupo wote walikaa kimywa na hata walikuwa machampioni wa kutoa kauli tata leo hii kageuka yy ndo alikuwa mbaya pekee yake
ushung unaingiliana vip angevaa wige je? ulitaka mabanda yajae kila mahali huko mijini.kila jambo na utaratibu wakeBibi tozo usituchoshe. Hatutaki drama.
Umetubomolea vibanda wamachinga — Kwanza nina hasira sana na wewe. Kaa kimya na ushungi wako.
Bei za bidhaa ziko juu, gesi juu, mafuta juu, sukari juu.
Umeme wa mgao, maji tabu, umeua miradi ya umeme... Bwawa la Nyerere etc. Tozo kila mahali.
Umetuletea machanjo ya ajabu ajabu. YAANI WEWEEE.... i wish niku....
😂😂😂Mara ya mwisho nimemsikia Mh. akisema hataongea tena bali kalamu itafanya kazi, leo vipi tena, kalamu imeisha wino?
Sasa hapo tatizo ni nani?Natoka nje ya hoja kidogo mnivumilie japo kutakuwa na mfanano kiasi.
Naamini mh. Madame SSH Nia yake ni njema Sana na anatamani Kila kitu anachoagiza kifanyiwe kazi yaani kitekelezwe Kwa ufanisi wake. Shida ni hao wateule wake wanaomwitikia na kumhakikishia utekezaji wa 100% naye anawaamini kumbe ni wanafiki na wachonganishi!
Kuna jambo la malipo ya watumishi wa umma waliopandishwa madaraja tangu 2016 na mawaziri wote watu yaani waziri wa fedha, tamisemi na utumishi walikiri kulifahamu hilo waliahidi kulimaliza. Aliagiza fungua litolewe tangu may mosi 2021 watumishi wale walipwe na mawaziri wale waliinamisha vichwa vyao mbele Kama ishara ya kusikia na kutii walichoagizwa kujifanya!
Just imagine Rais wa nchi anaagiza kazi ifanyike lakini mtekelezaji anamdindia, hii inaitwaje huko serikalini Kama sio uhaini na usaliti?
Huu ni mfano mmoja TU Kati ya mingi aliyoagiza na haikutekelezwa na Bado hao wateule wake wanazurura kwenye korido za ofisi yake kumwonyesha suti mpya waliyovaa siku hiyo naye anawachekea na huenda anawapongeza Kwa kupendeza!!
Aamue moja, ama asiwe anatoa maagizo kabisa na au awatimue wasiotii maagizo yake kwani wanamdharau!
Ikimpendeza afanye auditing ya fedha zile alizoruhusu kuwalipa watumishi wale ambao mostly ni walimu Kama zimechukuliwa na kuliwa kwani wamezoea Sana Hawa mawaziri kula fedha za walimu bila haya!
Huo utaratibu uko wapi? mmeshauweka?ushung unaingiliana vip angevaa wige je? ulitaka mabanda yajae kila mahali huko mijini.kila jambo na utaratibu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni waganga wa kienyeji walowavalisha mahirizi ya kumpumbaza Madame!Sasa hapo tatizo ni nani?
Je tatizo ni wateule wabovu walioteuliwa ma rais au tatizo ni rais aliyeteua watu wabovu na hawezi kuwawajibisha?
Pengine ni wabunge- hawezi wapiga chini.Sasa kama wako hovyo mbona anawaacha tu waendelee kufanya mambo ya hovyo?
Maana kama wako hovyo halafu hawako kwenye utumishi, shida iko wapi?
Kama wako hovyo, badala ya kulalamika, awapige chini. Wananchi walalamike na rais naye alalamike? Mantiki ya uongozi inapotelea mbali.
Njaa yako ndio inakufanya ujenge kiholela tu?.Kwahiyo nikale wapi?
Anipe ajira basi!
Watu tunapambana kutafuta kuendesha maisha yeye anatuma migambo kutubomolea biashara zetu?