Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Weee ebu weka source maana hii hbr ni nzito.
 
Wanaotoa taarifa ya kwamba jamaa kafariki,wakiulizwa tu 'RELIABLE SOURCE' ya taarifa wanazosambaza, wanakaa kimya, sijui kwanini, na inashangaza baadhi ya watu wanaanza kukomenti kuonyesha kukubaliana na taarifa ya muanzisha uzi.
 
Back
Top Bottom