Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Leta picha hapa tuoneSio kweli, mda mfupi uliopita alikua na meeting na wakuu wa wafanyakazi wake wa treni yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta picha hapa tuoneSio kweli, mda mfupi uliopita alikua na meeting na wakuu wa wafanyakazi wake wa treni yake
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeRais wa North Korea ametutoka duniani. Huu msiba mzito sana duniani.
Rais wa North Korea ametutoka duniani. Huu msiba mzito sana duniani.
Mungu yupi amponye?Kama ni kweli RIP kiduku na Mungu akulaze panapostahili, kama mgonjwa Mungu akupe wepesi upone haraka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila CNN au BBC kutangaza hii habari itabakia kuwa uzushi!Ingetakiwa useme kuwa ni tetesi
Sio yote haya ni CCM ndio imetufikisha mkuu
Naangalia Cnn hapa hawa jamaa wasivyompenda wangerusha breaking news. Juzi walisema yupo hoi baada ya kufanyiwa upasuaji. Kama amefariki wangesharusha.Rais wa North Korea ametutoka duniani. Huu msiba mzito sana duniani.