Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

Nakufahamu nje ya JF, wadanganye wasiokufahamu.
Jitahidi.

Mradi usisahau, mwana mama wa Kizanzibari, mwanamke shupavu wa Kiislamndiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa.

Haifutiki kwenye historia hiyo.
 
Humjui vizuri huyo ndio raisi wa kuzaliwa Zanzibar ila mwenye makazi bara kuliko kiongozi yeyote wa Zanzibar.

Retirement home yake yenyewe ameijenga bara.

Hayo mambo ya uzanzibari ushambenga tu. Hila β€˜bi-tozo’ maisha yake ni bara.
πŸ˜‚πŸ™† Duuu.
 
Wakati Mwinyi anakwenda Zanzibar kufata elimu, huko palikuwa bila bila.++Zanzibar ilikuwa inaongoza kwa elimu Afrika chini ya sahara.
Unamaanisha Elimu ya madarasa?

Maana Mwinyi alikwenda kusomeka usheikh!!
 
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.

Kama alitia fora ... ilikuwaje Bunge likafail kupata katiba mpya ....!!?
 
Mama Kazaliwa Zanzibar na wazazi wake wote wamezaliwa Zanzibar, ndiyo Rais wa kwanza Mzanzibari wa asili.

Mimi sikutokea Tabora, kwetu Mkuranga na sijawahi kuishi Zanzibar, zaidi ya kwenda kutenbea tu.

Wewe una asili ya wapi?
Ana picha ya wazazi wake tuione?
 
Ndo maana nikawa najiuliza mbona Mzee Mwinyi hakuuza Rasilimali za Tanganyika?? Kumbe Kwa sababu alikuwa ni Mtanganyika
 
Huyu bibi zama za mzilankende alipotea kama barafu kipindi cha joto. Kweli kurasa zinabadilika, baada ya ule ukurasa kufungwa sasa anaanza kubwabwaja kwa kasi sana.
 
Upo sahihi KABISA,

Jua pia anashiklia record ya ya juu mno ya kupiga Mnada wa wazi Mali za za BARA,BANDARI,MBUGA ZA WANYAMA, Pia kuwachekea WEZI wanatafuna hela za serikali na kuwaruhusu wale kwa UREFU wa KAMBA.

Kufukuzwa Wamasai kwenye origi land yao. Na kuwauzia wajomba zake.

Ongexza mengineyo.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Please kama una connection yoyote na bi mkubwa tunaomba utufikishie ujumbe na umwambie, tunamshukuru kwa uongozi wake kwa miaka hii aliyokua madarakani, ila mwakani tunaomba asigombee kwani tunataka mtu seriously ili tuijenge nchi yetu
Ombi maridadi,sahihi na limetolewa kiheshima sana.
Kongole na Mungu akubariki sana.
 
Hakukuwa na cheo kinaitwa Naibu Spika au spika kwenye Bunge la Katiba.
We mbibi.
 
Kwamba Zanzibar ijitawale yenyewe? Ajaribu aone moto wake
Lengo ni Tanganyika irudi kuwa kabla ya mjerumani kuja. Unajuwa ilikuwa inaitwaje kabla ya ujio wa mjerumani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…