Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

Hana asili ya Zanzibar bali Mtwara na Oman.... period.
 
"Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.: huyu huyu mwenye wajomba Oman?
 
Hakukuwa na mtu aikishi kisiwani Zanzibar. Walowezi mlifika mkatamalaki kwenye ardhi halal ya Tanzania. Hakuna Zanzibar.
 
SGR umepanda?

Umeme wa Steigler unautumia?

Umemaliza sekondari au unasoma shule za mama samia?
Hiyo miradi si ya kwake bidada hana uwezo wa akili wa kunzisha miradi of that magnitude. Miradi yake ni ule uwanja wa Arusha wa watu elfu 30, unaona anavyofeli.

Huyu mama, kwa upeo mfupi alisema kwenye speech yake ya kwanza:

"Tanzania sio kisiwa, twenda na wenzetu na wataliangalia swala la COVID kitaalam" ujinga mkubwa. Magufulia alikuwa sahihi, covid ni scam, utapeli mkubwa. Seigler sio mambo ya Samia. Mpaka sasa hana lolote la msingi, hii ni miradi ya Mwamba JPM.
 
..alikwenda kusoma Dini.

..Zanzibar na Mombasa kipindi hicho kulikuwa na Masheikh wakubwa wakitoa elimu ya Kiislamu.
Hiyo ndio elimu yao kubwa, kujazana ujinga. Idadi kubwa ya wauza sembe ni vijana wao na uhalifu mkubwa wa kikatili na imani za kishirikina ni wao pia. Ni kwenye vitabu vila vya wana makobazi kuna mambo ya Jini Makata.
 
Hivi unajua kihalali hizo bandari na hayo maji ya bahari mnayopigia kelele Kila Leo kiasili na kihalali ni Mali ya Zanzibar?? Tafuta historia ya ukweli vizuri

..Pwani ya Afrika Mashariki iliwahi kuwa mali ya Sultani wa Zanzibar.

..lakini kwasababu Sultani alikuwa yuko KIBIASHARA zaidi aliamua kuuza eneo hilo kwa Wajerumani.

..Na Sultani akiendelea kupoteza mamlaka yake mpaka na yeye akaishia kutawaliwa na Waingereza.

..Kuna kipindi Waingereza walikuwa wanaamua nani awe Sultani wa Zanzibar na nani asiwe.

..Kuna historia ambayo watu hawaizungumzi na inahusu eneo la MOMBASA.

..Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar mpaka mwaka 1963 na ilikuwa-transfered kwa Kenya muda mfupi kabla ya uhuru wa nchi hiyo.

..Mtu mwenye akili timamu angefikiria Zanzibar kuidai Mombasa kabla ya kudai Pwani ya Tanganyika.

..Historia nyingine ambayo watu hawaijadili ni kuhusu Oman kuwa chini au sehemu ya Zanzibar. Sultani aliwahi kutawala Oman lakini kiti cha ufalme wake kikiwa Zanzibar.

..Wadadisi wanapaswa kujiuliza nini kilitokea mpaka Oman ikatoka ktk mamlaka ya Zanzibar. Zaidi, Zanzibar ina haki ya kuidai Oman?

Cc Nguruvi3
 
..pia ushoga ni utamaduni wao.

..na hata huyu mshika usukani inasemekana ni msagaji.
Hii inatokana na wamiliki wa imani wanaamini kwenye bikra wakati wa ndoa jambo linalo lazimisha wamume na wake kuishi maisha ya jela kingono ingali wako huru mitaani. Ukitazama utamaduni wa kuingiliana kinyume na maumbile uko pwani Tanzania na Kenya.
 
Fact!
..Kuna kipindi Waingereza walikuwa wanaamua nani awe Sultani wa Zanzibar na nani asiwe.
Jamsheed alikimbilia na yupo Uingereza kwasababu hizo hizo
Naomba nikazie 1963 yaani mwaka moja kabla ya Muungano
Sijui kwanini Wazanzibar hawadai Mombasa na sijui kama wanajua historia hiyo!
Duh! hoja ngumu kuitafakari. Ahsante sana. Nimekaa pale nasubiri wakujibu
 
Picha ya baba yake&mama yake naiomba. Zawadi nono itatolewa kwa atakaye fanikisha hilo
Hata siye tafadhali.
Majina na picha za wazazi wake.
Mwl Nyerere walijulikana wote...
Hata na marais wengine.

Huyu WAZAZI NA HATA HUYO MUME HAWAJULIKANIi?!

SASA UKIDAI KAZALIWA ZANZIBAR NA NANI?! WATOTO KAZAA NA NANI?! MBONA HAONGOZANI NAYE SAFARI WALA KWENYE SHEREHE MBALIMBALI?!
 
Naona huielewi Tanzania inavyoendeshwa. Hakuna mwenye mradi wake.

Nani anatekeleza kipi ndiyo kina matter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…