Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Kwahiyo kasahau njia aliyopita wakati wa kwenda au ???
 
Hizi nchi; Liberia, Chile, Argentina na Nepal, zinaongozwa na marais wanawake.

Ebu wamalawi jaribuni kwenda huko mkamtafute.

Huyu Bingwa wenu sii ajabu keshajinyakulia kombe mojawapo.
 
Alaf usikute kasahau lugha ya malkia maana yeye haoni wenzake kimya wala hawana habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…