Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Kwahiyo kasahau njia aliyopita wakati wa kwenda au ???
 
Hizi nchi; Liberia, Chile, Argentina na Nepal, zinaongozwa na marais wanawake.

Ebu wamalawi jaribuni kwenda huko mkamtafute.

Huyu Bingwa wenu sii ajabu keshajinyakulia kombe mojawapo.
 
Hapo akianga kuwa harudi tena
Malawi-576131.jpg
Mh hii ndege si Bombardier Q400 ????????? ndo zinapotea mh cc mwenyekiti
 
Back
Top Bottom