Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

Hawa watu wa LGBTQ wana backup kubwa sana. Trump awe makini sana sanaa
 
Mbona hata wewe ulimbaka malaya ukamhonga pesa..

Usiniulize nilikuwepo, nimesikia kama wewe ulivyosoma habari za Trump.
Ni kweli.

Huo ni ukichaa, hata mimi naweza kuwa kichaa kama Mgaufuli au Trump.

Kuwa kwangu kichaa, haimaanishi kwamba natakiwa kukanusha ukichaa wa Magufuli au Trump.

Trump ni mwehu, Trust me, na ataigharimu sana dunia. Kichaa kapewa rungu.
 
hiyo LGBT ina shida gani hadi hadi raisi wa nchi apoteze muda kuizungumzia? Inapunguza sh ngapi kwenye pato la taifa?
 
Hawa watu wa LGBTQ wana backup kubwa sana. Trump awe makini sana sanaa
Yaani unasimama kabisa kusema eti ''mwanamke kwa mwanamke wasigusishiane vinembe'' ! Hivi hiyo ni akili timamu kweli? Umekosa kabisa vitu vya kuzungumzia?
 
Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea.

Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
Real?
 
Huyo raisi ni mwehu, miaka minne atakayokaa madarakani ataivuruga sana Marekani na dunia kwa ujumla.

Ni kama Tanzania ilivyotawaliwa na Magufuli, mental disease!
Mashoga mmeanza kujitokeza.
 
Vipi kijana wako akiwa shoga, utaumia wapi mkuu?
 
Kwahiyo kafuta ushoga au mnatoa sifa za kipuuzi?
Sidhani kama kuna mtu ambae anaweza kutokomeza ushoga, ni vile anazuia kujitangaza na kuupromote. Kama mtu ni shoga abaki na ushoga wake ndani yake yeye mwenyewe.
 
Ushoga umeanzia mbali sana tangu enzi za "YESU" na kabla ya "YESU" na hata YESU wanadai alikuwa ni undercover gay yaani shoga wa sirini.
 
Ni kweli.

Huo ni ukichaa, hata mimi naweza kuwa kichaa kama Mgaufuli au Trump.

Kuwa kwangu kichaa, haimaanishi kwamba natakiwa kukanusha ukichaa wa Magufuli au Trump.

Trump ni mwehu, Trust me, na ataigharimu sana dunia. Kichaa kapewa rungu.
Sijakataa, kila mtu huwa na kichaa chake. Wengine kutafuta pesa, starehe, mademu, kudanga, kusali, kujilipua na mabomu. Ukichaa ni kuwa nje ya uwezo wa kuisimamia akili kutenda kile wengi wanategemea utatenda kwa muelekeo au manufaa ya kijamii.

Suala la Trump linakuja..
1. Anaonekana kichaa vile mipango yake anaiweka hadharani yeye mwenyewe na kuitekeleza. Asingesema kabla ya kuitekeleza kama watangulizi wake Demokrati, na akatekeleza kimyakimya kupitia wasaidizi wake pengine akatangaza msemaji wa Ikulu, Trump asingeonekana kichaa..

2. Hebu tujiulize, ametawala miaka minne kabla, aliigharim kitu gani dunia tofauti na haya yaliyofanywa na waLiberali wa kidemokrasia ya Biden. Ukilinganisha kichaa cha Biden na Trump ni kipi kipo juu ya kingine?
 
Tifuaneni mitalo huko kwenye vyumba vyenu ila msituletee mabendera yenu ili kututangazia ufala wenu...pumbavu nyie
 
Tanzania mbona hamuko wazi kuhusu sera yenu na LGBTQ mnasemea juu juu tu, tungeni sheria kama mnaweza hao kina magu wote walisapoti LGBTQ nyuma ya pazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…