Rais wa Marekani Joe Biden akutana na kufanya kikao kizito na Viongozi wa dini ya Kiyahudi Ikulu ya White House jijini Washington

Nimeangalia kwenye tv
Basininaweza kua hawajaipost youtube au title sahihi nfo nakosa. Maana hiyo "the big picture" ni kama jina la makala linaloangazia mambo mbali mbali.

Hapa ya karibu nayoiona ni hii

Hiyo ya :how a zionist armed group...:
 
Ukweli ni mchungu sana mkuu👊
 
Mkuu Umedadavua vzr. Ndo maana Netanyahu anakuwa na kiburi, jeuri na hata kumgomea Rais wa marekani ktk baadhi ya mambo coz ana power kubwa nyuma yake.

Na Rais yeyote wa US kwenda Israel mara Kwa mara imekuwa kawaida sana inaonekana inamlazimu afanye hivyo coz no way out. Huyu Antony Blinken secretary of state ameshaenda Israel zaid ya mara 10 ndan ya mwezi mmoja.

Nilikuwa najiuliza Kuna nini Pale Israel? Sasa nimeelewa.
 
Angalia mabilonea wa dunia ambaonni Wayahudi hapa:-
 
Waambie wanakondoo ndio hawana ubongo
 
Wakristo ndio dini ya vituko duniani
Wanawacheka waislam kufuga ndevu huku wayahudi wakifuga
Wanatuita wavaa kobazi ,akati hizo kobazi ndio yesu na akina yakobo ,Paulo etc ndio walikua wanavaa
 
Iran alivyotulia kama hayupo ila waseme tu suu waone
 
Hichi kikao kilikuwa ni kumjadili Iran tu na nguvu yake aliyonayo na ukweli kwamba US hawawezi kuvumilia vita vyingine vipya ukiacha Ukraine na Russia kwa sasa, hivyo Israel wametakiwa kutulia kama maji mtungini ili taifa lao libaki salama na mara wakijaribu kupambana na Iran kichwa kichwa Israel itapotezwa kwenye ramani ya dunia na mashariki ya kati watabaki wenyewe wazawa chokochoko za mayahudi na mazayuni itakuwa imefikia mwisho wake.

Na pia Israel wamejulishwa kwamba ile mistari ya kwenye biblia kwamba Israel ni taifa la mungu ni mistari feki iliwekwa ni wazungu na US baada World War II kwa mikono yao ili Israel ipate kuungwa mkono na kupata heshima duniani, na kwamba ile ahadi ya kwamba taifa la Israel itafika muda litasambaratika huenda huo muda umefika kwahiyo watulie tu kwa usalama wao.

Pia wamejulishwa hofu kubwa iliyopo kwamba huenda Iran nyuma yake kuna Russia, North Korea na China hivyo msala hautaka mdogo, pia wamejulishwa kuhusu base za US zilizopo mashariki ya kati itakuwa haziko salama tena na itakuwa ni dalili tosha US kukosa nguvu mashariki yaki kama ilivyokuwa adhima yao kuitawala Middle East., lakini on top of that wamejulishwa pia kwamba vita ikianza Biden na Kamala wataramba mchanga uchaguzi unaokuja na badala yake Trump atachukua nchi jambo ambalo pia Wamarekani wanahofu kubwa kutokumuamini Trump huenda marekani isiwe salama tena.
 
Dahh umeongea points sana mkuu... Kwa bahati mbaya hapa Africa hatuna akili.

Ukiangalia tu ushabiki wa Palestina and israel hapa jf, utajua kabisa vichwa vyetu vina utindio wa ubongo
 
Wew Lete taarifa za kuuwawa kwa magaidi yenye mlengo wa kidini achana na Biden. LETE HABARI ZA KUSISIMUA NA KUFURAHISHA KAMA KAWAIDA YAKO
 

Ameongea nini na marabi huyu m'babu?
 
Hezbolah na Hamas ni magaidi,,kwahiyo mtu mwenye akili timamu hawezi unga mkono magaidi
 
Indeed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…