gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Nimeangalia kwenye tvNisadie link mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia kwenye tvNisadie link mkuu.
Basininaweza kua hawajaipost youtube au title sahihi nfo nakosa. Maana hiyo "the big picture" ni kama jina la makala linaloangazia mambo mbali mbali.Nimeangalia kwenye tv
Ukweli ni mchungu sana mkuu👊Lazima wainyenyekee maana uchumi wa USA kwa asilimia kubwa unashikiliwa na wahuni waliojipa Utukufu dunian wa kuamua mambo yawe vipi.
Utabishana vip na anayecontrol uchumi, media na kila kitu?, karibu kila secta,kampuni na institutes kubwa dunian zinamilikiwa na hao jamaa (wayahudi).
Watu wanadhani kwamba USA inaitetea israel kwa upendo tu, wala hakuna jambo kama hilo, ingekuwa hivyo basi USA ingewatetea raia wake wanaouana nchini mwake kwa umiliki haramu wa siraha, na kukomesha magenge ya uhalifu.
Lkn why israel? Jibu ni kuwa wanapata sababu ya kuicontrol middle east kupitia ilo taifa bandia, wanacontrol muenendo wa resources ya mafuta hapo middle east ambayo kwa asilimia kubwa mafuta hayo yanauzika dunia nzima, kucontrol nguvu ya kidola dhidi ya upinzani wa mwarabu&muajemi.
pia israel kuwepo hapo ni faida kwa maendeleo ya kipropaganda kwa kuwacontrol slaves wao ambao bado wanaamini ktk dini haswa zinazohusiana na chimbuko la ibrahimu.
Kiufupi hao jamaa hawatoondoka hapo leo wala kesho maana plan zao ni kuongeza ukubwa wa nchi yao kwa njia yoyote ile, na sasa ni mwanzo tu, wataibua kila chokochoko mpaka watimize watakalo, na wanaweza maana hakuna mtetezi dunian, wala hakuna wa kuwapinga kivitendo, zaidi ya unafiki wa wanasiasa.
Israel ni taifa bandia la baadhi ya makabila ya wazungu waliohamisha jamii zao kutoka ulaya kuja Middle east kwa madhumuni yao, hawahusian na biblia wala quran, msidanganywe.
Wanaua magaidi wa HAMAS walioanzisha tafrani October 07, 2023.Sasa mkuu kwanini wanawaondoa wale wapalestina? Maana kama nchi si wamepata?
Watu wanauliwa way back mkuu. Mi nauluza swali la general we unataja october 7 kila la kheri mkuuWanaua magaidi wa HAMAS walioanzisha tafrani October 07, 2023.
Mkuu Umedadavua vzr. Ndo maana Netanyahu anakuwa na kiburi, jeuri na hata kumgomea Rais wa marekani ktk baadhi ya mambo coz ana power kubwa nyuma yake.Lazima wainyenyekee maana uchumi wa USA kwa asilimia kubwa unashikiliwa na wahuni waliojipa Utukufu dunian wa kuamua mambo yawe vipi.
Utabishana vip na anayecontrol uchumi, media na kila kitu?, karibu kila secta,kampuni na institutes kubwa dunian zinamilikiwa na hao jamaa (wayahudi).
Watu wanadhani kwamba USA inaitetea israel kwa upendo tu, wala hakuna jambo kama hilo, ingekuwa hivyo basi USA ingewatetea raia wake wanaouana nchini mwake kwa umiliki haramu wa siraha, na kukomesha magenge ya uhalifu.
Lkn why israel? Jibu ni kuwa wanapata sababu ya kuicontrol middle east kupitia ilo taifa bandia, wanacontrol muenendo wa resources ya mafuta hapo middle east ambayo kwa asilimia kubwa mafuta hayo yanauzika dunia nzima, kucontrol nguvu ya kidola dhidi ya upinzani wa mwarabu&muajemi.
pia israel kuwepo hapo ni faida kwa maendeleo ya kipropaganda kwa kuwacontrol slaves wao ambao bado wanaamini ktk dini haswa zinazohusiana na chimbuko la ibrahimu.
Kiufupi hao jamaa hawatoondoka hapo leo wala kesho maana plan zao ni kuongeza ukubwa wa nchi yao kwa njia yoyote ile, na sasa ni mwanzo tu, wataibua kila chokochoko mpaka watimize watakalo, na wanaweza maana hakuna mtetezi dunian, wala hakuna wa kuwapinga kivitendo, zaidi ya unafiki wa wanasiasa.
Israel ni taifa bandia la baadhi ya makabila ya wazungu waliohamisha jamii zao kutoka ulaya kuja Middle east kwa madhumuni yao, hawahusian na biblia wala quran, msidanganywe.
Angalia mabilonea wa dunia ambaonni Wayahudi hapa:-Mkuu Umedadavua vzr. Ndo maana Netanyahu anakuwa na kiburi, jeuri na hata kumgomea Rais wa marekani ktk baadhi ya mambo coz ana power kubwa nyuma yake.
Na Rais yeyote wa US kwenda Israel mara Kwa mara imekuwa kawaida sana inaonekana inamlazimu afanye hivyo coz no way out. Huyu Antony Blinken secretary of state ameshaenda Israel zaid ya mara 10 ndan ya mwezi mmoja.
Nilikuwa najiuliza Kuna nini Pale Israel? Sasa nimeelewa.
Waambie wanakondoo ndio hawana ubongoUnaweza kujiuliza why hizi nchi za wazungu wanachukulia kwa uzito sana suala la israel, wanajali sana mambo yake kuliko hata wanavyowajali raia wao.
Imefika wakati kwamba hata kumtusi muisrael ktk hicho nchi haswa USA,UK, France ni kama dhambi au kosa, kwamba hiyo jamii haikosei?
Taifa ambalo nchi kubwa zinavumilia ushenzi wake na udharimu wake bila kufanya lolote na wakizidi kuubariki ushenzi wa hiki kitaifa.
ukienda ndani zaidi unagundua kuwa israel ni man made terrorist country, taifa lililoundwa na hawa wanaocontrol everything hapa dunian, ndiomaana ukiwaongelea vibaya tu wanaruka nawewe.
Bahat mbaya huku ktk nchi za wapumbavu hasa Afrika, hawajui siasa za dunia zinakwenda vipi, wao wanaendeshwa na mihemko ya kidini, kisiasa na kipropaganda kutoka ktk media.
Tumekazana mitandaoni&mitaani kuvurugana na kubishania ugomvi usiotuhusu, kumbe nyuma ya pazia hayo mambo yana plan&agenda zake ambazo zimefichwa kupitia dini&siasa uchwara.
Wakristo kwa waislam mnachoshana bure acheni kulaumiana kuhusu mgogoro wa palestina&israel maana hauwahusu, huo mgogoro umeundwa makusudi kwa malengo maalum, hauhusu dini zaidi zaidi viongozi wenu wapumbavu wa kidini wanawadanganyeni na kuwaingiza mkenge mjihusishe na hiyo migogoro mkidhani inaendana na masimulizi ya dini zenu bandia.
Mnapoteza muda bure mnapoiombea israel/palestina maana maombi yenu ni unafiki, mnawaacha ndugu zenu Congo, Sudan n.k mnakimbilia sehem zisizo wahusu?.
Amkeni enyi vilaza
View attachment 3120411
Hichi kikao kilikuwa ni kumjadili Iran tu na nguvu yake aliyonayo na ukweli kwamba US hawawezi kuvumilia vita vyingine vipya ukiacha Ukraine na Russia kwa sasa, hivyo Israel wametakiwa kutulia kama maji mtungini ili taifa lao libaki salama na mara wakijaribu kupambana na Iran kichwa kichwa Israel itapotezwa kwenye ramani ya dunia na mashariki ya kati watabaki wenyewe wazawa chokochoko za mayahudi na mazayuni itakuwa imefikia mwisho wake.Wadau hamjamboni nyote?
View attachment 3120399
Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house
Rais wa taifa la Marekani Joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism
Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wachache sana maalumu.
Maelezo zaidi kuhusu kikao nyeti yatatolewa.
Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki Marekani
Niwatakie usiku mwema
Dahh umeongea points sana mkuu... Kwa bahati mbaya hapa Africa hatuna akili.Unaweza kujiuliza why hizi nchi za wazungu wanachukulia kwa uzito sana suala la israel, wanajali sana mambo yake kuliko hata wanavyowajali raia wao.
Imefika wakati kwamba hata kumtusi muisrael ktk hicho nchi haswa USA,UK, France ni kama dhambi au kosa, kwamba hiyo jamii haikosei?
Taifa ambalo nchi kubwa zinavumilia ushenzi wake na udharimu wake bila kufanya lolote na wakizidi kuubariki ushenzi wa hiki kitaifa.
ukienda ndani zaidi unagundua kuwa israel ni man made terrorist country, taifa lililoundwa na hawa wanaocontrol everything hapa dunian, ndiomaana ukiwaongelea vibaya tu wanaruka nawewe.
Bahat mbaya huku ktk nchi za wapumbavu hasa Afrika, hawajui siasa za dunia zinakwenda vipi, wao wanaendeshwa na mihemko ya kidini, kisiasa na kipropaganda kutoka ktk media.
Tumekazana mitandaoni&mitaani kuvurugana na kubishania ugomvi usiotuhusu, kumbe nyuma ya pazia hayo mambo yana plan&agenda zake ambazo zimefichwa kupitia dini&siasa uchwara.
Wakristo kwa waislam mnachoshana bure acheni kulaumiana kuhusu mgogoro wa palestina&israel maana hauwahusu, huo mgogoro umeundwa makusudi kwa malengo maalum, hauhusu dini zaidi zaidi viongozi wenu wapumbavu wa kidini wanawadanganyeni na kuwaingiza mkenge mjihusishe na hiyo migogoro mkidhani inaendana na masimulizi ya dini zenu bandia.
Mnapoteza muda bure mnapoiombea israel/palestina maana maombi yenu ni unafiki, mnawaacha ndugu zenu Congo, Sudan n.k mnakimbilia sehem zisizo wahusu?.
Amkeni enyi vilaza
View attachment 3120411
Wadau hamjamboni nyote?
View attachment 3120399
Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house
Rais wa taifa la Marekani Joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism
Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wachache sana maalumu.
Maelezo zaidi kuhusu kikao nyeti yatatolewa.
Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki Marekani
Niwatakie usiku mwema
Ukitaka uamini kwamba Hezbu-allah ni magaidi soma charter yaoWew Lete taarifa za kuuwawa kwa magaidi yenye mlengo wa kidini achana na Biden. LETE HABARI ZA KUSISIMUA NA KUFURAHISHA KAMA KAWAIDA YAKO
IndeedLazima wainyenyekee maana uchumi wa USA kwa asilimia kubwa unashikiliwa na wahuni waliojipa Utukufu dunian wa kuamua mambo yawe vipi.
Utabishana vip na anayecontrol uchumi, media na kila kitu?, karibu kila secta,kampuni na institutes kubwa dunian zinamilikiwa na hao jamaa (wayahudi).
Watu wanadhani kwamba USA inaitetea israel kwa upendo tu, wala hakuna jambo kama hilo, ingekuwa hivyo basi USA ingewatetea raia wake wanaouana nchini mwake kwa umiliki haramu wa siraha, na kukomesha magenge ya uhalifu.
Lkn why israel? Jibu ni kuwa wanapata sababu ya kuicontrol middle east kupitia ilo taifa bandia, wanacontrol muenendo wa resources ya mafuta hapo middle east ambayo kwa asilimia kubwa mafuta hayo yanauzika dunia nzima, kucontrol nguvu ya kidola dhidi ya upinzani wa mwarabu&muajemi.
pia israel kuwepo hapo ni faida kwa maendeleo ya kipropaganda kwa kuwacontrol slaves wao ambao bado wanaamini ktk dini haswa zinazohusiana na chimbuko la ibrahimu.
Kiufupi hao jamaa hawatoondoka hapo leo wala kesho maana plan zao ni kuongeza ukubwa wa nchi yao kwa njia yoyote ile, na sasa ni mwanzo tu, wataibua kila chokochoko mpaka watimize watakalo, na wanaweza maana hakuna mtetezi dunian, wala hakuna wa kuwapinga kivitendo, zaidi ya unafiki wa wanasiasa.
Israel ni taifa bandia la baadhi ya makabila ya wazungu waliohamisha jamii zao kutoka ulaya kuja Middle east kwa madhumuni yao, hawahusian na biblia wala quran, msidanganywe.
Upo sahihi na wote wana mikataba ya kuilindaAngalia documentary 'the big picture' huko aljazeera utaelewa, israel ni outpost ya europe middle east
Hivi hili neno lina maana gani. Huwa nalisikia tu kwa wadada tangu zamani🤣🤣🤣🤣 Tobaaaaa