Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

Wakati wa bob makani na chama chake (Chadema) ujinga kama huu hukuwepo,
 
Kweli tunahitaji katiba mpya
Kweli tuna viongozi mfano wa manyampara
Lakini, huyu Mdude huwa namuona naye ana mihemko. Kuna siku ali tweet hearsay mpaka akasahihishwa na mwanachadema mwingine. Unapokua mwanaharakati kwanza uwe smart upstairs. Kosa dogo tu linaondosha thamani yako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu vipi tena mbona unataka kuumbua watu mchana wote huu ilhali ugali wa shemeji ndiyo kwanza umefika tumboni?!!!!!
nilitegemea kama angekuwa mtu mwenye hoja za kweli na zenye mashiko mpaka sasa tungeshapata jibu,tatizo wengi wetu tumekataa kuwa bendera fuata upepo
 
hapana mkuu sio kuumbua watu ni kutaka kujua tu ili nasi tusiojua tujue anachokipambania mwenzetu kama kina maslahi kwa Taifa basi tunaahidi kushirikiana tupambanie pamoja
Sawa mkuu. ngoja nami nikae mguu sawa nijiandae kupata hiyo elimu kutoka kwa huyo mkuu mwenzetu ambaye, bila shaka, ameona ombi lako. Naamini leo watu wanaenda kuelewa kitu kuhusu hii hoja ya 'Katiba ya Warioba! Katiba ya Warioba!' kila siku.
 
nilitegemea kama angekuwa mtu mwenye hoja za kweli na zenye mashiko mpaka sasa tungeshapata jibu,tatizo wengi wetu tumekataa kuwa bendera fuata upepo
Inawezekana anapitia kidogo mkuu, don't jump to conclusion!
 
Anza kumpoteza babaako kama unaye, ili uone raha ya kupotelewa na mwanafamilia.
Ok, Mdude kakosea, je inakupa uhalali wa kushauri auwawe?
Unajua dhamani ya uhai, au ukishashakuwa chawa akili zinahamia kwingine,
 
Kuita rais nyapara sioni tatizo. Watanzania wengi wana tatizo la nidhamu iliyopitiliza na "lese majeste" ya kujitakia.

Uongozi gunia la chawa. Moja ya mishahara ya uongozi ni kuitwa majina ya kila aina, kwa haki na bila haki.

Tatizo Mtanzania anapopendekeza rais wa Kenya kuwa rais wa Afrika.

Ina maana yeye kashakubali chama chake hakiwezi kupata uongozi wa nchi yake kikaongoza nchi na Afrika.

Hii ni kauli ya mtu asiyejitambua na aliyekata tamaa.
 
Alipendwa kisha akaagiza wapinzani waenguliwe ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Ukipendwa unapika idadi ya wapiga kura!

Bwana Mahera atataushahidi
 
Nakukumbusha tu kuwa yule takataka hatunae tena na ni mwisho kuongozwa na washamba kutoka huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…