SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mazuzu ni wazazi wako waliokuleta duniani. Pambaf!Eti bwashee, tuiondoe ccm madarakani halafu tunayaweka mazuzu kama kina mdude, lisu, nk? Basi hii itakuwa nchi ya mazuzu tupu!
Naona nimegonga penyewe, povu kama lote! Kumbe na wewe umo kwenye kundi la mazuzu? Orodha inaongezeka, mdude, lisu, sagai galgano, etcMazuzu ni wazazi wako waliokuleta duniani. Pambaf!
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude
Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Tuliza tundu lako la nyuma aiseee.Haka kajinga wangekasaga na kuja kuokotwa kwenye viroba huko..
Ujue hata kwenye biblia kuna wafalme waliagizwa na Mungu kuua watu wasio na maslahi na Nchi..
Ni Afya kupoteza Mtu mmja kama huyo kwa faida ya wengi..
Eti hao ndio viongozi wa chadomo wanataka kuchaguliwa.
Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude
Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Naona nimegonga penyewe, povu kama lote! Kumbe na wewe umo kwenye kundi la mazuzu? Orodha inaongezeka, mdude, lisu, sagai galgano, etc
Acha ujinga wewe.Tuliza tundu lako la nyuma aiseee.
Wacha watu waseme wanachoona kina wafaa hiyo ndio demokrasia.
Kama unaona kuna kosa milango ya mahakama ipo wazi nenda kafungue shauri.
Unatishia kuua mtu nani atakayeishi milele?
nilitegemea kama angekuwa mtu mwenye hoja za kweli na zenye mashiko mpaka sasa tungeshapata jibu,tatizo wengi wetu tumekataa kuwa bendera fuata upepo
Sawa mkuu. ngoja nami nikae mguu sawa nijiandae kupata hiyo elimu kutoka kwa huyo mkuu mwenzetu ambaye, bila shaka, ameona ombi lako. Naamini leo watu wanaenda kuelewa kitu kuhusu hii hoja ya 'Katiba ya Warioba! Katiba ya Warioba!' kila siku.
Hahaha watanzania waliamua kutochagua upinzani
Nakukumbusha tu kuwa yule takataka hatunae tena na ni mwisho kuongozwa na washamba kutoka huko!
mkuu walivyisema huyo jamaa anatumia sembe na kuiuza hawakukisea sema polisi walikosea taratibu za kuandaa jaladaRejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani
Lakini wakuiondoa ni haya mazuzu?? Akiwemo Mdude
Chadema jifunzeni....hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu mjinga....kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa...anaweza kupotezwa vibaya sana
Kwanini ?... huyo jamaa nahisi ni pandikizi liko kazini.
Watanzania Kaka
Magu alipendwa Sana na watanzania
Huyo kichaa wenu kaanza leo?
Bwana Mahera atataushahidi
Eti bwashee, tuiondoe ccm madarakani halafu tunayaweka mazuzu kama kina mdude, lisu, nk? Basi hii itakuwa nchi ya mazuzu tupu!