hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Km bei ya mafuta kuwa juu kulko zanzibar! Tozo kujaa bara kulko zanzibar, serikali pendekezwa za katiba ya warioba zingepunguza uzandiki huo.
Sasa Kaka nyumba yenye familia ya watu kumi utalinganisha na nyumba yenye familia ya watu 50?
Hilo nalo mpaka katiba mpya?