Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Mkuu ACHA kuhangaika na hayo ma assumption yasiyowezekana. Sio kwa nchi hii me nakwambia. Yani eti usalama ndio wamu eliminate rais kwa nchi yetu never I repeat never!

Sana sana watamnyenyekea na kujipendekeza TU ili ugali uwe assured kwa wao kuendelea kuwepo ndani ya idara. Hebu tu mfano mdogo we angalia tu wakuu wa idara jinsi wanavyobadilishwa kienyeji enyeji just tu rais atakavoamka siku hyo na kujisikia kumtoa na kumweka mwingne. Refer case ya kipilimba na huyu wa sasa diwani
Then refer utendaji kazi wa hawa wa chini, refer case ya nape kutishiwa bastola very unprofessionally!
Ndio nauliza usalama wa nchi hii wafanye hayo unayosema kwa maslahi ya nchi never na bado hatujafikia huko mkuu
We nikikuuliza tu swali dogo unadhani idara hii inaendeshwa kiuweledi mkuu utanijibu nn?
 
Mimi nimesoma lakini mpaka namaliza sijapata logic ya andiko lote...

Mathalani, sijaelewa unata wasomaji wako wapate ujumbe gani wenye manufaa kwao...

Nilichokiona ni unfounded empty threats tu...

What I understand, ni kuwa, misingi yote ya uongozi iko kikatiba. Namaana kuwa, katiba imeeleza mara Rais afapo akiwa madarakani nani atachukua madaraka hayo...

Hii sijui hatari, itakuwa hatari, patakuwa hatari inatoka wapi tena? Hii inaeezekana tu kama aliyekufa alikuwa anaongoza nchi kwa kutumia kichwa chake (yaani kidikiteta) na siyo kwa kufuata utaratibu wa kiemokrasia kwa mujibu wa katiba...

Huyo ndiyo alikuwa Magufuli...
 
Umeelewa nilichoandika?Au umekurupuka tu?
 
Ukitoka ulimwengu ule huna tofouti na vifaranga walioachwa na mama yao kwa ufupi ni kama unayaanza maisha upya….
Maisha mapya ya uhuru na furaha.. Bila majukumu wala kuwajibika mahali.. Si ndio raha na kurelax kwenyewe?
 
Vitu unavyoandika mbona ni vya kufikirika na wala hakuna madini yeyote!Mi nataka uniambie JPM alivyofariki,vyombo vyetu vinashirikiana na nchi gani kuchunguza kifo hicho!Tena unasema hata Rais wa wakati huo mfano Samia anakuwa hajui!
Hapa unachoandika sio intel bali habari za kuokoteza tu!
 
Maisha mapya ya uhuru na furaha.. Bila majukumu wala kuwajibika mahali.. Si ndio raha na kurelax kwenyewe?

Si rahisi kusahau ile familia watu wengine wanachangiwa na kuwa mafukara wa maisha….

Si unamuona huyu mleta mada tangu atengwe amekuwa kama amerukwa na akili…
 
Unaangalia "movie" halafu unajijengea taswira na kututaka nasi tuijenge duuh😳😳😳 🤣🤣🤣

#NchiKwanza
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
 
Si rahisi kusahau ile familia watu wengine wanachangiwa na kuwa mafukara wa maisha….

Si unamuona huyu mleta mada tangu atengwe amekuwa kama amerukwa na akili…
Mwamba Kwa kufatilia post zake hajachanganyikiwa Kwa kutupwa nje.. Kinacho mchanganya ni Ile reason iliyotumika kumtoa nje..

Labda ilikuwa fedheha kwake au anaona hakutendewa haki..
 
Tangu Mama aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri umekuwa mstari wa mbele sana kumtetea hata pale ambao hukosea? Nilikuwa nakuheshimu sana ila baada ya kugundua wewe ni mbinafsi na mdini nimekupuuza na hii ni kwa sababu wewe unatokea zanzibar.
Fair mkuu, huo ni uoni wako na sitoweza kukupinga.

Tukiongelea specifically issue iliyopo mezani na comment niliyoiweka ambayo ndiyo iliyokufanya uni-quote ni kwamba mleta mada hajamzungumzia Mama Samia popote pale. Ila anatokea mtu anamlisha maneno, I can't just keep quiet like it is ok.
 
Katika mambo yaliniachia majonzi Ni hilo la kujitangaza mapema namna hii eti atagombea kwa sababu amepata nafasi. Kufa kwa mwenzi ni fursa kwake kweli?
Nchi inabidi iendelee....

Taifa halifi......

#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
#SiempreJMT
 
Hii kitu inayoitwa mfumo ni balaa sana.....
Yaani ukiupinga tu lazima ukutane na "imbombo ngafu"

Watu wanawabeza wa kwetu kwa kuwa tunawaona kama wanayumba ila ukiwa mfuatiliaji wa masuala ya kijasusi hata hao siaiei ni utopolo tu 😂😂😂......

Wanatengeneza mazingira uwaamini wao ni bora sanaaaaa kuliko kumbe ni wa kawaida tu...
 
Kwa lugha nyingine, wee hujui kitu, ila unataka jamaa akuandikieee yaan utoke na mambo


Kama ulitaka akuandikie kama kitabu , umuombe tu ,"Mkuu sijaelewa kitu, nieleweshe"
Na wewe naye ni kapuku tu,ukijazwa ujinga nawe unakwenda tu kama popo!
 
Amesema mataifa rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…