Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Mkuu ACHA kuhangaika na hayo ma assumption yasiyowezekana. Sio kwa nchi hii me nakwambia. Yani eti usalama ndio wamu eliminate rais kwa nchi yetu never I repeat never!Sasa kwa mifano yote uliyotoa, mbona umetoa conclusion kwa kuangalia upande mmoja TU?
Kwamba, Magu amefariki na kwahiyo SSH na wenzake wasijisahau kwa kuona ndo wameshatusua?
Mbona umesahau uwezekano wa kwamba, hao wanaoangalia maslahi mapana ya taifa, ndio waliom-eliminate Mheshimiwa Magu kama alivyokuwa eliminated Rabin?
Na kwamba, endapo above scenario ndio the right one, basi hapo hakuna cha upelekezi wa kuangalia kifo wala nini cuz' MISSION ACCOMPLISHED?!
Sana sana watamnyenyekea na kujipendekeza TU ili ugali uwe assured kwa wao kuendelea kuwepo ndani ya idara. Hebu tu mfano mdogo we angalia tu wakuu wa idara jinsi wanavyobadilishwa kienyeji enyeji just tu rais atakavoamka siku hyo na kujisikia kumtoa na kumweka mwingne. Refer case ya kipilimba na huyu wa sasa diwani
Then refer utendaji kazi wa hawa wa chini, refer case ya nape kutishiwa bastola very unprofessionally!
Ndio nauliza usalama wa nchi hii wafanye hayo unayosema kwa maslahi ya nchi never na bado hatujafikia huko mkuu
We nikikuuliza tu swali dogo unadhani idara hii inaendeshwa kiuweledi mkuu utanijibu nn?