Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

Hilo likuwa ni kuongozwa na wacheza segere na taarabu. Mwisho wake nchi imekuwa shamba la bibi kila mtu aliyeona ya kukwapua anakwapua tu

Duuu jamani huyo ni rais wetu mstaafu
 
Huo ni ukweli kabisa kwa sasa biashara ni dola
 
Jina hilo hata Nyerere aliliita, kuwa pesa yetu ni ya madafu. Unatuambiaje kuhusu Nyerere kuiita pesa yenye picha yake hivyo?
 
Jina hilo hata Nyerere aliliita, kuwa pesa yetu ni ya madafu. Unatuambiaje kuhusu Nyerere kuiita pesa yenye picha yake hivyo?
Nyerere hawezi kufanya huo ukichaa, tupe ushahidi
 
Mkwele tangu lini akawa na akili?

Yule mkweree alikuwa mwizi tu, anatakiwa baada ya muda aondolewe kinga halafu ashitakiwe kwa kutumia madaraka yake vibaya kuhujumu nchi!! Ndio maana aliipinga rasimu ya katiba ya Wariobakwa nguvu zake zote kwani alijua madudu aliyokuwa anafanya na wapambe wake.
 
Well said Mkuu pamoja sana
 
Yule bwana wa Msoga ameumiza wengi sana...
Walau sasa tuna Rais.
Mungu mlinde Magufuli.
 
Pesa ya madafu maana yake ni pesa inayopata thamani yake kutokana na uzalishaji wa ndani " madafu, pamba, kahawa etc", angetaka angesema "pesa ya kahawa" badala ya " pesa ya madafu"
 
Pesa ya madafu maana yake ni pesa inayopata thamani yake kutokana na uzalishaji wa ndani " madafu, pamba, kahawa etc", angetaka angesema "pesa ya kahawa" badala ya " pesa ya madafu"
Kwenda zako hapa, hiyo tafsiri yako ni kutokana na andiko lipi?
 
Khaa!! Jamani nyie wakimbizi nini? Hicho ni kiswahili safi kikiwa na maana pesa ya ndani ( local currency). Sasa Kama mnashindwa hata kuelewa maana ya pesa ya madafu basi idara ya uhamiaji inahusika :mvutaji:

Madafu ni nini? How come, President aidharau local currency kwa kuifananisha na dafu? Thamani ya nchi ni uimara wa sarafu yake, alishindwa kila kitu, apumzike, our Tshs itaimarika yeye mwenyewe ashangae
 
Jina hilo hata Nyerere aliliita, kuwa pesa yetu ni ya madafu. Unatuambiaje kuhusu Nyerere kuiita pesa yenye picha yake hivyo?

Samia Suluhu amekwenda Afrika kusini kumuwakilisha RAIS Magufuri kwenye mkutano wa marais, je Kikwete naye ni Rais? na amekwenda kule kumuwakilisha nani? kamwe nchi hatutompa tena mswahili mswahili, nyinyi kipaji chenu ni kucheza ngoma tu na siyo uongozi.
 
Ili niuma sana nilipo msikia
 
Ni dhahiri kuwa kwa kauli yake hiyo amekiuka apizo alilolifanya Novemba 2005 na akalirudia November 2010 pale Uwanja wa Taifa.Pia ni dhahiri amesababisha shilingi kushuka thamani kwa kasi ya ajabu katika miaka 10 aliyewatumikia Wananchi akiwa angani ama ughaibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…