heri diomond kuliko profesa yaahi diomond anautumia ubongo wake 80% ila profesa nut kati ya ubongo na mdomo ilibaki bagamoyo .yaani ingekuwa ni enzi zile za kutoa mtu mmjo wakato wa sikukuu auwawe kura yangu ingemuangukia huyu baraba na keshokutwa angebadilishwa jina agriiiiiwakati mwingine nashindwa kuntofautisha profesa na diamond na sasa nimejua tofauti ya alama ya kujumlisha na msalaba...sijui nimepatia
usiyejua madafu ni nini basi wewe ukosawa na aliye tamka neno hilo akifikiri sifa, kumbe anajipalia makaa kwa kutudharau watanzania tunayetumia fedha hiyo, kwani yeye anatumia za escro.Kwani hela ya ''madafu'' ina maana gani kwa sababu inawezekana tunalaumu kitu ambacho kinabeba uharisia wa maneno.
Kwani kusema hela ya ''madafu'' ina madhara gani ya moja kwa moja katika uchumi wa nchi?
Naomba unieleweshe kwa sababu sifahamu msingi wa hoja yako.
Watanzania tukome kuwapa watu wa pwani Urais, hawa watu asili yao ni uvivu na kukaa vijiweni, hata jana pale Diamond kilikuwa ni kijiwe cha wazee/waswahili wa Dar wasiojitambua. Mambo kama hayo mimi sikuona kulikuwa na haja gani ya kuweka kijiwe, ilikuwa ni kuchukua hatua basi
Ulishawahi kuwasikia Rais wa Marekani au PM wa UK anaita hayo majina pesa zao tena kwenye hotuba zao????Mimi sioni tatizo lolote kwa sababu haliondoi ukweli na halileti athari yoyote katika uchumi.
Mbona maneno ya utani au wakati hata UK wanaita utawasikia wanaita pesa yao majina kama quid, nicker, bin lid, vile vile hata Wamarekani wanaita pesa yao majina kama bucks.
kinyungu ulitaka afanywe nini? hii ni hela ya madafu na itabaki kuwa ya madafu mbele ya dola. huwezi kutegemea jipya kwa sababu hujajiandaa kisaikolojia kumsikiliza Rais wa nchi. wewe kwako Rais ni FAM au WS sasa akiongea JK hatukushangai ukyasema unayoyasema maana hata wazee wa dar es salaam umewapa jina wazee wa vijiwe vya ccm. Rais hajadharau sarafu ya nchi yake kwani ndilo jina linalotumika mitaani.
Je na zenyewe zina maana ya kukejeli fedha zao?Mimi sioni tatizo lolote kwa sababu haliondoi ukweli na halileti athari yoyote katika uchumi.
Mbona maneno ya utani au wakati hata UK wanaita utawasikia wanaita pesa yao majina kama quid, nicker, bin lid, vile vile hata Wamarekani wanaita pesa yao majina kama bucks.
Wawekezaji wanaangalia kona tofauti, kwa mfano wewe ukisema huwekezi nchi yenye vita, wengine kwao ni opportunity ndio maana hata Kongo kuna wawekezaji, Sudan kuna wawekezaji, kwa hiyo wakati mwingine siasa, vita, thamani ya fedha, matamshi ya rais, sio vikwazo kwa mwekezaji yeye anaangalia atapata nini akiwekeza. Afrika ya Kusini iliwekewa vikwazo wakati wa utawala wa kibaguzi lakini wako waliowekeza pamoja na vikwazo hivyo. Kwa hiyo neno "hela ya madafu" sio kikwazo kwa mwekezaji makini na inawezekana ikawa ni opportunity iliyosababishwa na weakness ya upande wa pili. Unaweza kulinganisha Yen na $? au Yuan na $? au Stg na $? au na UG.Shs? KSh. nk? Mbona nchi hizo zina wawekezaji?
Kikwete siku zote amedhihirisha udhaifu kiuongozi na kifikra. Haelewi kabisa nguvu ya nafasi ya uraisi. Hotuba zake ukizichambua utaona ni utumbo mtupu.
msani ktk kila jambo huyu