‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

Wewe una uhakika wa hicho ulichokiandika?
 
Haiwezekani.

Kuna apps za kutengeneza tweets.

Buhari siyo mwanaharakati mpaka avutiwe na JF.

Sioni Buhari anakutana wapi na JF hadi aijue na amjue mmiliki.
Sio lazima akutane na JF ana vyombo vyake ambavyo vinafatilia siasa za nje kama hujui ni hujui tu bora kunyamaza
 
Jiwe akiiona hii itakuwa shida sana
 
No habari njema kwetu ni ushindi kwetu sote wana jf. Hongera sana Maxcence Melo
 
Sio lazima akutane na JF ana vyombo vyake ambavyo vinafatilia siasa za nje kama hujui ni hujui tu bora kunyamaza
Kwa nilichokiongea nina uelewa mpana kuliko nadharia uliyoleta. Kaa kushoto.
 
Nchi yetu ndo maana hatuendi mbele viongozi wengi wa tanzania ni wapuuzi!!
 
Barikiwa saaaaana Melo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]
 
Bila ka-audio huu uzi una chembe za porojo..

enewei, Hongera kwa waanzilishi, iwe amesema au hajasema
 
Anastahili kuwa Tajiri.. Misifa haitoshi wampe motisha
 
Post zangu za kusema co founder wa jamii forums Mushi anastahili pia kusifiwa zinafuttwa what is wrong? Hastahili kuunganishwa kusifiwa? Wakati ni founder?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…