mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Latest news about Maxence Melo from Nigeria & world | TODAY.NGHaiwezekani.
Kuna apps za kutengeneza tweets.
Buhari siyo mwanaharakati mpaka avutiwe na JF.
Sioni Buhari anakutana wapi na JF hadi aijue na amjue mmiliki.
Wewe una uhakika wa hicho ulichokiandika?Kw hiyo km amempongeza?!! Tambua kuwa ubora wa jf,unategemea na umakini na ubora wa sheria za nchi na usimamizi bora wa vyombo vya hbr nchini.km jf ingeachwa na uhuru usiokuwa na mipaka.ikafanya mambo ya kipumbavu km mtoto asie na malezi,hata huko nje isingesifiwa.japo cna uhakika wa hicho ulichoandika.
Sio lazima akutane na JF ana vyombo vyake ambavyo vinafatilia siasa za nje kama hujui ni hujui tu bora kunyamazaHaiwezekani.
Kuna apps za kutengeneza tweets.
Buhari siyo mwanaharakati mpaka avutiwe na JF.
Sioni Buhari anakutana wapi na JF hadi aijue na amjue mmiliki.
Heshima kwenu wakuu,
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amempongeza Maxence Melo muanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU. Ni jambo jema kwa waanzilishi wa JAMIIFORUMS na Tanzania kwa ujumla.
Tunafungia vya kwetu kwa hiari, tutatumia vya wenzetu kwa lazima.
View attachment 961986
Viongozi, wa Afrika wanauchukulia mtandao wa JamiiForums kama Uwanja huru wa kukemea maovu, kuibua na kupinga ufisadi, sehemu salama inayotoa uhuru wa kujieleza, kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha.
Hapa nchini Tanzania, viongozi wajitafakari. Je JamiiForums kwao ina maana gani?
Huyu Maxence Melo anayesifiwa huko duniani, hapa Tanzania kila uchao anazunguka vituo vya polisi kuhojiwa na kufunguliwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Maxence anaandamwa huku Mafisaidi wapo mtaani wanakula bata.
====
View attachment 961868
In his address at the #AYCAC2018 today in Abuja, President Buhari recognizes some of young African leaders who have demonstrated the zeal and determination to build the “Africa We Want”.
“First, I wish to recognize Mr. Moussa Kondo from Mali for his Accountability Lab in the Republic of Mali. He blazed the trail on how to build sustainable coalitions of “Accountapreneurs”.
“Secondly, I recognize, Mr. Maxence Melo, from the United Republic of Tanzania, founder of JamiiForums for strengthening the viability of whistleblowing policy tools.”
”I also enjoin us to celebrate our very own Nigerian - Damilola Olawale, founder of Code IT for using technology to give young people the tools to demand transparency in the management of public resources.” –
These young people have done impressive work in pushing the boundaries of innovation in the pursuit for greater accountability. And so today, we celebrate them and indeed we celebrate all of you - anti-corruption youngsters.
“You are the unsung heroes of our thematic year of the African Union, the high-impact achievers. You are the REAL AFRICAN CHAMPIONS”
President Buhari at #AYCAC2018 Abuja.
Kwa nilichokiongea nina uelewa mpana kuliko nadharia uliyoleta. Kaa kushoto.Sio lazima akutane na JF ana vyombo vyake ambavyo vinafatilia siasa za nje kama hujui ni hujui tu bora kunyamaza
Ina maana kaka angu Maxence Melo hastahili hii sifa au.Hii habari bila ya picha, link, au video clip ni udaku kama ulivyo udaku mwingine.
Inabidi ujiongeze uende GoogleBila ka-audio huu uzi una chembe za porojo..
enewei, Hongera kwa waanzilishi, iwe amesema au hajasema
Mbona wabongo mnakuwa wazembe sana