Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
mrusi ni chinja chinjaHii si mara ya kwanza kwa Urusi kutungua ndege ya abiria.
Sijui wana tatizo gani tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mrusi ni chinja chinjaHii si mara ya kwanza kwa Urusi kutungua ndege ya abiria.
Sijui wana tatizo gani tu!
Ni kawaida ya Russia kushambulia raia.Hii habari hunaeleza chanzi cha tukii hilo ambalo ni kutokana na mashambulizi ya drone kutoka ukraine hasa wiki mbili hizi wanashambulia Glozny Chechnya kwa drone na kuhatarisha usalama wa watu na anga. Hivyo air defence zipo standby muda wote. Na hata hiyo ndege ilifanyiwa timing na Ukrainr wakishirikiana na west wakijua kuwa wakituma kwanza drone air defence zitakuwa activated huku wakijua kuna ndege ya abiria ilikuwa njiani na ndio maana ilikataliwa kutua Chechnya Glozny kwa sababu hizo hizo za usalama dhidi ya drone za Ukraine's na kweli west walichotaka wamekipata. Ili kupata sababu za kuishutumu Urusi.