Mbona viongozi wao hawapigwi pingu?
jamani mbona sielewi mara mwanamke mara mr .... na waliofungwa pingu ni wanaume vipi.Na Kajitahid Ni Wa Kike Halaf Mjanja Namna Hii? Hongera Dada
Ni Binti? Maskini waeeee Valentine hiii jamani!!!!!!
Na Kajitahid Ni Wa Kike Halaf Mjanja Namna Hii? Hongera Dada
Hao ndo wasomi wetu.
Sio wa kike. Huyo dada atakuwa something yake. Mwenyewe kapigwa pingu. Huyu aliyesimama. halafu mdogo sana. Yaani kajiharibia sana sana. halafu wizi sio ujanja. Wizi ni wizi tu! Hongera ya nini?
huyo dogo atakuwa na kadi ya ccm bila shaka