The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Bora wewe umesema.Halafu wanafikiri VETA utakwenda usomee mf. ufundi magari halafu ukitoka hapo unafungua li gereji lako unaanza kupiga hela. Hawajui kwamba vyuo vingi vya VETA havina walimu wabobevu katika baadhi ya fani na vingi havina karakana za maana. Labda serikali ifanye uwekezaji wa maana.
Wanaofaidi VETA ni wale ambao tayari wana kaujuzi japo kidogo huku mtaani na kule wanakwenda kuwa certified tu na kuwa professionals. Fundi bubu wa magari mtaani ndiyo hasa anafaa kwenda VETA lakini sidhani kama mtu hujui kabisa magari ndiyo uende VETA halafu ukitoka hapo eti uajirike mtaani.
Nina mtoto wa dada kahitimu ufundi magari anasema hakukuwa na practicals za maana na sana sana tu waliishia kuchora injini ya gari na mengine lakini hawakufanya mazoezi ya kutosha. Sasa hivi yupo anahangaika kujifunza udereva.
Ni mikurupuko tu as usual!
Kwanini asiende alipomaliza f4? D mbili tu unajiunga VETAMpuuzi mwingine kuunga mkono mambo ya kijinga! Rais wa chuo kichwa maji namna hiyo
Veta umesomea nini?Mzee wangu 😅unaposema Huyu bwana mdogo sio smart una maana gani! Nijitolee mfano, mimi pia nina degree Ila nina mpango wa kwenda veta since three years back, nimeanza na kimoja kimoja, before ata hii kauli ya P.M
nimefanya kazi ya driving four years, out my professional ya Chuo, now nina qualifications ya kwenda kusoma madaraja makubwa and driving cars and operating machines ni my passion
Sasa sijajua mzee wangu unasemaje kwamba dogo si smart, huenda ana Maono yake lakini pengine anajisemea kwenda kama trend tu kuchase clout, 🤔
Kwa hivyo umekusudia ukimaliza veta unaweza kuchukua master ?UDOM chuo cha KATA
Atangilie kabisa huko VETA, degree ya nini?Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Mwanzo nilidhani shilingi ya Tanzania ndiyo pekee imeshuka thamani, kumbe hata elimu inazidi kuporomokaRais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
NAKAZIA "Mpuuzi mwingine kuunga mkono mambo ya kijinga! Rais wa chuo kichwa maji"Mpuuzi mwingine kuunga mkono mambo ya kijinga! Rais wa chuo kichwa maji
Ndo Nina mpango wa kwendaVeta umesomea nini?
Tumefika hukuUDOM na VETA ni sawa tu,
You spoke it louder!😄😂🤣NAKAZIA "Mpuuzi mwingine kuunga mkono mambo ya kijinga! Rais wa chuo kichwa maji"
Sasa kwa nini anasubiri mpaka apate Shahada ya Ualimu?....si aache chuo ajiunge moja kwa moja VETA ama aanze ujasiliamali wa kushona viatu ambao hauhitaji hata kujua kusoma na kuandika? Taifa linapitia changamoto kubwa sana hasa katika eneo la namna vijana waliopo mashuleni na vyuoni wanavyoweza kufikiri na kuchanganua mambo?Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Lipo na yapo mengi, nadhani hakuna jambo lolote la maana linaweza kutoka katika vinywa vya chawa na vijana wa namna hii.Je kuna jambo lolote la maana linaweza kutoka UDOM?