The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
Ambiwe akamuulize Ntobi na Jasusi Mwitu Yeriko kwenye uchaguzi wa CDM kejeli kama hizi na tambo kama hizi ila 21st January liliwakuta jambo hadi leo hawaja recover endelea kudharau mitandao utakuja kustuka too late ushaliwaWakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
Usiache uchawa uongoze akili zako, kipi hasa cha kumfukuzisha chuo mwanafunzi hapo?Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Akimaliza chuo aje mtaani kuendesha bodabodaWakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
Hata u monitor wa darasa la saba C asingestahili kupata. Wamewezaje kumchagua Rais chawa?Siku hizi vijana wamekuwa wa ovyo sana.
Huyu hakufaa kupew hata uCR wa kozi.
Pumbavu sana wanachuo.
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
We hukioni? We waache wachezee shilingi chooni, kwani wao ndio watakuwa wa kwanza kufukuzwaUsiache uchawa uongoze akili zako, kipi hasa cha kumfukuzisha chuo mwanafunzi hapo?
Vyuo vikuu vipi? Hao ambao wakimaliza masomo tunaishi nao vijiweni bila kazi;Wakati falsafa zingine zinaamini nchi ina mali inayotumiwa na nchi za nje badala kunufaisha Taifa.Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
Kati ya watu ninaowaonea huruma ni huyu dogo.Wakuu

Wewe Rais,utashiriki na sio wanafunzi!Wakuu