imeisha hioWakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
Hapo hakuna wasomi. Lawino once asked Ocol: What is the impotace of your book if the knowledge cannot help you and your society? Km ulisoma O-level Kiingereza na kumuelewa mwalimu wako sina haja ya kukuelimusha au kukufafanulia zaidi juu ya hii statement ya LAWINO.Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Kwa hiyo tuache shule!!?Hapo hakuna wasomi. Lawino once asked Ocol: What is the impotace of your book if the knowledge cannot help you and your society? Km ulisoma O-level Kiingereza na kumuelewa mwalimu wako sina haja ya kukuelimusha au kukufafanulia zaidi juu ya hii statement ya LAWINO.
Chawa akitetea tumbo lake huwa anasahau bata kutetea watoto wake. Anawaza uteuzi na ajira. Wasomi wapumbavuWakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
Hapana tusome kwa lengo la kuelimika siyo kwenda kuzurura na kufaulu kijanja kijanja maana matokeo ya ujanja ujanja ndo hii tunakuwa na wahitimu bogus wasioweza ku argueKwa hiyo tuache shule!!?
mjinga mwingine huyuWakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO, Geofrey Kiliba ameeleza kuwa Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu nchini watashiriki uchaguzi Mkuu kikamilifu Mwezi Oktoba mwaka huu,kama sehemu ya utekelezaji wa haki yao ya Kikatiba pamoja na kudumisha amani kwa kuchagua Viongozi bora.
Kiliba amebainisha hayo wakati wa utoaji wa tuzo za Silent Ocean Uniawards 2025 Jijini Dar Es salaam kwenye chuo cha Mwalimu Nyerere, akisisitiza pia kwamba mitandao ya Instagram na X, sio Tume ya Uchaguzi, hivyo wote wenye ajenda muhimu zenye maslahi na Taifa ni muhimu wakatumia mifumo na njia rasmi zilizopo na zinazokubalika kisheria.
Kiliba kadhalika ameeleza kuwa TAHLISO haitokuwa na hiyana na yeyote ambaye hana nia njema na Tanzania sambamba na wote wanaoenda kinyume na Katiba na sheria za Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kutunza amani na ustawi wa Tanzania.
View attachment 3360745
Tunajua matokeo tayari usalama wanayo sasa uchaguzi wa niniHawa waitwe viranja tu,eti raisi??huyu ni kiranja wa Tahliso na upumbavu wake
Hata Nyerere aliambiwa maneno ya kijinga kama ya kwako wakati anasoma.Angekuwa kama wewe,leo hii angeimbwa kishujaa?Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Hana akili huyo. Kwanza wanachuo wengi huwa hawapigi kura na sababu ni hii.Wakuu