PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Wanafunzi vyuo vikuu tutashiriki uchaguzi, Instagram Facebook na X sio Tume Huru ya Uchaguzi

PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Wanafunzi vyuo vikuu tutashiriki uchaguzi, Instagram Facebook na X sio Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa ndio wale wanaenda vyuoni kukaa miaka mingi, lakini katika mambo mengi wakitoka wajinga kuliko walivyoenda.

Just ignore such people.
 
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Wafukuzwe chuo kwa kosa lipi?
Mawazo uliyonayo ni ya kichawa sana
 
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Vyuo vyenyewe ambayo hata wakihitimu wanaishia kuwa mawinga na wapiga debe na bodaboda?
 
Siku hizi vijana wamekuwa wa ovyo sana.

Huyu hakufaa kupew hata uCR wa kozi.

Pumbavu sana wanachuo.
usituukumu ndugu ni vile yupo gizani ajui tabu wanayopitia wanachuo wenye kutaman mabadiliko yani had tunasahau kama sie ni watanzania au wakimbizi nchini
 
Kwani hivyo vyuo siku hizi vinafundisha ujinga au?
 
Vijana wa siku hizi chips yai na hapo ana D nne zake.
 
Uzuri ni kwamba
miaka ya chuoni siyo mingi,atamaliza chuo,boom litakata na tunamkaribisha mtaani kufanya kazi ambazo pengine hakuzisomea kwa malipo ya mshahara mdogo kuliko hata bumu analopata na wakati huo ni wakati wa uongozi alioupigia kura kutimiza haki yake kikatiba.
 
Hawa ndio vijana wenye akili timamu. Sio kama wavuta bangi.
Vijana oyeeee.
tunaenda kupiga kura octoba 2025
 
Back
Top Bottom