PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Wanafunzi vyuo vikuu tutashiriki uchaguzi, Instagram Facebook na X sio Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Your browser is not able to display this video.
 
Muda wake wa kuongoza unaisha mwezi huu.
 
imeisha hio
 
Mleta mada tunafahamu kwamba bumu halitoshi na unakaribia kumaliza chuo na hivyo huna uhakika maisha yako ya baadae yatakuaje kwa hiyo hata ukileta mada kama hizi wenzako hatukushangai
 
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Hapo hakuna wasomi. Lawino once asked Ocol: What is the impotace of your book if the knowledge cannot help you and your society? Km ulisoma O-level Kiingereza na kumuelewa mwalimu wako sina haja ya kukuelimusha au kukufafanulia zaidi juu ya hii statement ya LAWINO.
 
Kwa hiyo tuache shule!!?
 
Hayo ni mawazo yako No Reforms No Election
 
Twendeni kwa mwendo huu
 

Attachments

  • IMG-20250608-WA0004.jpg
    47.5 KB · Views: 23
Daah kama ndo mwanangu akirudi nyumbani atakula mikwaju
 
Chawa akitetea tumbo lake huwa anasahau bata kutetea watoto wake. Anawaza uteuzi na ajira. Wasomi wapumbavu
NO REFORMS NO ELECTION
 
Kwa hiyo tuache shule!!?
Hapana tusome kwa lengo la kuelimika siyo kwenda kuzurura na kufaulu kijanja kijanja maana matokeo ya ujanja ujanja ndo hii tunakuwa na wahitimu bogus wasioweza ku argue
 
mjinga mwingine huyu
 
Hao vijana wakija mtaani wanajiona very special huwa wanateseka sana kwenye utafutaji
 
Acha kuponza wanafunzi wanaojitafuta, wewe kama umeshatoboa acha kuwatia ujinga watoto wa maskini, we unadhani wakufukuzwa chuo utawasaidia maisha wewe!!? Pumbavu zako.
Hata Nyerere aliambiwa maneno ya kijinga kama ya kwako wakati anasoma.Angekuwa kama wewe,leo hii angeimbwa kishujaa?
 
Hana akili huyo. Kwanza wanachuo wengi huwa hawapigi kura na sababu ni hii.

Wakati wa zoezi la uboreshaji taarifa za wapiga kura likifanyika, wao hujiandikisha wakiwa vyuoni.

Wakati/siku ya kupiga kura huwa vyuo vimefungwa kwahiyo wengi huwa wanakuwa nje/mbali na maeneo walipojiandikishia.

NB: kwasheria za uchaguzi mkuu, ukijiandikisha kituo A kisha ukahamia kituo B (nje ya kata ulipojiandikishia lakini ndani ya jimbo lile lile la uchaguzi hautaruhisiwa kumchagua diwani, utamchagua mbunge na rais pekee)

Ukijiandikisha kituo A kisha ukahamia kituo C (nje ya jimbo ulilojiandikishia hata kama ni mkoa uleule ulipojiandikishia hautaruhisiwa kupiga kura kwa diwani wala mbunge ila utamchagua Rais peke yake)

Kwa sheria hizo, ni wazi kuwa wanachuo wengi hawapigi kura ukizingatia wasimamizi wengi wa uchaguzi kwenye vituo ni duni sana katika kufuata sheria na miongozo wao wanachojua ukijiandikisha kituo fulani basi kura lazima ukapige hapohapo ulipojiandikisha.

Huyo rais wa TAHLSO anaropoka tu ili apate buku saba zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…