Kulalamika kunasaidia nini ndugu? Sijaisikiliza hiyo clip lakini kama mtu ameamua kumdis Mungu hiyo ni juu yake mwenyewe na dhambi zake. Wakristo au waislam kulalamika hakutafuta kauli yake ..Mungu si mali ya dini yoyote bali ni wa wote.Mi nasema kama watu hawa wanaojiita wakristo au waislam wasipolalamikia hili jambo rasmi nitaumia sana. Labda tuambiwe alikuwa alikuwa anamaanisha mungu tumbo au vinginevyo. Lakn kama ni huyu mzee wa cku lazma hatua zichkuliwe. Haiwezekan hli jambo likapita hiv hiv.
kwahiyo magufuli amefariki tarehe 07??March 12, 2021 Maajaliwa alizungumza hayo akiwa Njombe baada ya sala ya Ijumaa, kutokana na maneno ya Samia Suluhu amesema Magufuli alianza kuumwa March 07, 2021.
Geree that is harsh!!!!! Wamemuua, alikuwa amebana wizi na rushwa. Angalia nyuso zao, no huzini hapoMbona alikuwa na convyoy ya madaktari na gari Maalum la kumlinda kiafya? Wakati mwingine watu wanafanya majukumu kwa kuangalia mwelekeo wa boss. Na kuogopa kuwa critical maana ukiwa hivyo kesho kazi huna. Alishasema hadharani kuwa "Mimi sipingwi"
Amevuna alichopanda. No regret.
Inaonyesha uko vizuri sana kwa kujitahidi katika kusoma Maandiko na kutafuta maarifa ya kimbingu, hilo nikupongeze na unafanya vizuri sana Mungu akubariki, changamoto kwako ni pale unaposoma Biblia halafu unakuja na mawazo yako ya nguvu za ugali kutaka kufafanua Bibilia, tatizo linaanzia hapo, unaposoma Biblia lazima uwe na spiritual imagination ndugu yanguUkristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume.
Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).
Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.
Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.
Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”
Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu isipokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”
Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.
Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86;
Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76;
Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73;
na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66, likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ),
American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.
Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:
(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”
(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”
Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yenu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu ”
Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS).
Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.
Hata hivyo, kutokana na nkuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):
"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):
"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
wewe huwezi juta maana majuto uliyo nayo kuhusu maisha yako ni kisanga tosha.Mbona alikuwa na convyoy ya madaktari na gari Maalum la kumlinda kiafya? Wakati mwingine watu wanafanya majukumu kwa kuangalia mwelekeo wa boss. Na kuogopa kuwa critical maana ukiwa hivyo kesho kazi huna. Alishasema hadharani kuwa "Mimi sipingwi"
Amevuna alichopanda. No regret.
Sio kila sehemu unalalama lalama tu, chizi akianua nguo ulizotundika wakat unaoga(vyoo vya paspot saizi) humkimbizi, ukimkimbiza utaonekana chizi ni ww..Mi nasema kama watu hawa wanaojiita wakristo au waislam wasipolalamikia hili jambo rasmi nitaumia sana. Labda tuambiwe alikuwa alikuwa anamaanisha mungu tumbo au vinginevyo. Lakn kama ni huyu mzee wa cku lazma hatua zichkuliwe. Haiwezekan hli jambo likapita hiv hiv.
Spoon feeding, unataka kila kitu ulishwe tu...Katukana nn?mbna uzi hauna nyama huu? yaani unaeleza as if wote tumemsikia...
Church of satan ni Ukristu?
Sasa ndiyo nchi italiwa Kama 6 years agoGeree that is harsh!!!!! Wamemuua, alikuwa amebana wizi na rushwa. Angalia nyuso zao, no huzini hapo
Sijaona ukieleza kuwa zinatofauti katika jinsi ya kumfuata Yesu na kuweza kuuona/kuupokeaUfalme wa Mbinguni.
Kuna ambayo inasema usimpokee/kumkubali Yesu?
Kuna ambayo inasema usitubu dhambi zako?
Kuna ambayo inasema usibatizwe kwa maji?
Kuna ambayo haikiri kuwa Yesu atabatiza kwa
Moto na kwa Roho Mtakatifu?
Kuna ambayo haisemi Yesu Kristo ndio njia pekee ya Kweli na Uzima? Hakuna mwabadamu atakaye pata Uzima wa milele bila ya kupitia yeye.
Kuna ambayo haisemi kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa?
Kuna ambayo haisemi Bwana Yesu alifufuka na alishinda kifo na kaburi. Kaburi lake liko wazi?
Kuna ambayo haiseme Yesu alifufua wafu akiwemo Lazarius?
Kuna ambayo haisemi lazima niondoke duniani ili msaidizi wa karibu Roho Mtakatifu aje kuishi nanyi hapa duniani?
Kuna ambayo inasema Roho Mtakatifu ni mwanadamu?
Kuna ambayo inakana Yesu alizaliwa na Mariam akiwa bikira?
Kuna ambayo inakataa kuwa Yesu ni mzao wa Daudi, Yakobo, Isihaka, na Ibrahim.
Kuna ambayo haisemi Yesu ni Adam wa pili ambaye kwa kupitia yeye ulimwengu mzima umeokelewa na dhambi? Hapa shsrti ni umpokee na kubatizwa utubu dhambi zako ndio vigezo lakini. Hamna nafasi ya kumkiri na kumpokea kiholela holela. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Naachia hapa kwani yako mengi sana sana hakuna anayeweza mwanadamu kuyadocoment matendo yote ya Bwana Yesu.
Kwenye maombolezi ya mpendwa wetu JPM naendelea kuwa makini pamoja na yatokanayo. Hii mbinu yenu ya kuniweka busy na maswali ya Mungu haitafua dafu.
Inaonyesha uko vizuri sana kwa kujitahidi katika kusoma Maandiko na kutafuta maarifa ya kimbingu, hilo nikupongeze na unafanya vizuri sana Mungu akubariki, changamoto kwako ni pale unaposoma Biblia halafu unakuja na mawazo yako ya nguvu za ugali kutaka kufafanua Bibilia, tatizo linaanzia hapo, unaposoma Biblia lazima uwe na spiritual imagination ndugu yangu
Sijaona ukieleza kuwa zinatofauti katika jinsi ya kumfuata Yesu na kuweza kuuona/kuupokeaUfalme wa Mbinguni.
Kuna ambayo inasema usimpokee/kumkubali Yesu?
Kuna ambayo inasema usitubu dhambi zako?
Kuna ambayo inasema usibatizwe kwa maji?
Kuna ambayo haikiri kuwa Yesu atabatiza kwa
Moto na kwa Roho Mtakatifu?
Kuna ambayo haisemi Yesu Kristo ndio njia pekee ya Kweli na Uzima? Hakuna mwabadamu atakaye pata Uzima wa milele bila ya kupitia yeye.
Kuna ambayo haisemi kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa?
Kuna ambayo haisemi Bwana Yesu alifufuka na alishinda kifo na kaburi. Kaburi lake liko wazi?
Kuna ambayo haiseme Yesu alifufua wafu akiwemo Lazarius?
Kuna ambayo haisemi lazima niondoke duniani ili msaidizi wa karibu Roho Mtakatifu aje kuishi nanyi hapa duniani?
Kuna ambayo inasema Roho Mtakatifu ni mwanadamu?
Kuna ambayo inakana Yesu alizaliwa na Mariam akiwa bikira?
Kuna ambayo inakataa kuwa Yesu ni mzao wa Daudi, Yakobo, Isihaka, na Ibrahim.
Kuna ambayo haisemi Yesu ni Adam wa pili ambaye kwa kupitia yeye ulimwengu mzima umeokelewa na dhambi? Hapa shsrti ni umpokee na kubatizwa utubu dhambi zako ndio vigezo lakini. Hamna nafasi ya kumkiri na kumpokea kiholela holela. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Naachia hapa kwani yako mengi sana sana hakuna anayeweza mwanadamu kuyadocoment matendo yote ya Bwana Yesu.
Kwenye maombolezi ya mpendwa wetu JPM naendelea kuwa makini pamoja na yatokanayo. Hii mbinu yenu ya kuniweka busy na maswali ya Mungu haitafua dafu.
| KING JAMES BIBLE | NEW INTERNATIONAL VERSION |
| Luke 9:56 For the Son of man is not come to destroy men's lives, but to save them.And they went to another village. Matt. 18:11 For the Son of man is come to save that which was lost. | Luke 9:56 and they went to another village. Matt. 18:11 (missing) |
| Matt. 9:13 ...I am not come to call the righteous, but sinners to repentance. | Matt. 9:13 ...I have not come to call the righteous, but sinners. |
| I Cor. 5:7 ...Christ our passover is sacrificed for us: | I Cor. 5:7 ...Christ, our Passover lamb, has been sacrificed. |
| John 6:47 Verily, verily, I say unto you, He that believeth on me hath everlasting life. | John 6:47 I tell you the truth, he who believes has everlasting life. |
| Luke 2:33 And Joseph and his mother marvelled at those things which were spoken of him. | Luke 2:33 The child's father and mother marveled at what was said about him. |
| Mark 3:15 ...power to heal sickness, and to cast out devils. | Mark 3:15 ...authority to drive out demons. |
| Mark 11:26 But if ye do not forgive, neither will your Father which is in heaven forgive your trespasses. | Mark 11:26 (missing) |
| I Cor. 10:28 ...for the earth is the Lord's and the fulness thereof: | I Cor. 10:28 (last part of verse missing) |
| Matt. 5:44 ...Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you. | Matt. 5:44 ...Love your enemies and pray for those who persecute you. |
| John 16:16 A little while, and ye shall not see me: and again a little while, and ye shall see me, because I go to the Father. | John 16:16 In a little while you will see me no more, and then after a little while you will see me. |
| This is only a very small sampling of the many changes between these versions. For a much more complete discussion of how the New International Version attacks the deity of Christ, and cuts away at the foundations of the Christian church, read "If the Foundations Be Destroyed" by Chick Salliby. |
Bro Mungu atukanwe ukae kimya? Labda hujui uzito wa Mungu aisee.Sio kila sehemu unalalama lalama tu, chizi akianua nguo ulizotundika wakat unaoga(vyoo vya paspot saizi) humkimbizi, ukimkimbiza utaonekana chizi ni ww..
Kuna mengine ya kuacha yapite tuu... Kukaa kimya ni jibu bora zaidi.
Unataka tumfanye nini!? Tumpige mawe mpaka afe ama..Bro Mungu atukanwe ukae kimya? Labda hujui uzito wa Mungu aisee.
Akili zako zinakutuma Magu ndo alikuwa mungu wa Tanzania?Hadi Sasa siamini nini hatima ya Tanzania.
Wacha niendelee kumuombea tu Samia asije akaangukia mikononi mwa Manyang'au..wakafanya biashara pale ikulu.
Mi nasema kama watu hawa wanaojiita wakristo au waislam wasipolalamikia hili jambo rasmi nitaumia sana. Labda tuambiwe alikuwa alikuwa anamaanisha mungu tumbo au vinginevyo. Lakn kama ni huyu mzee wa cku lazma hatua zichkuliwe. Haiwezekan hli jambo likapita hiv hiv.