MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Wewe ni jingalao kweli. Musa alionyeshwa nchi yote ya ahadi na mipaka yake lakini akaambiwa hataikanyaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na wiki nzito
Jana nimecheka sana baada ya kumsikia Mwanamuziki mmoja aitwaye Afande Rasta.
Hivi afande, huyo Mungu unayemtukana, wakati akimuumba jpm ulikuwepo? Je wewe ndiye uliyemuambia amuumbe jpm? Kama sio, iweje umtukane Mungu akiwa kwenye majukumu yake?
Ulitaka ufe wewe au afe nani?
Acheni tabia ya kujipendekeza kwa marehemu mkadhani mtapata sifa yeyote, haya mimi sipo
Katukana vibaya sana shida sisi wengine kusambaza tunaami i kuwa na wewe unashiriki kumtukana Mungu itafute tu hiyo audio na baadae nadhani baada ya kushauriwa na watu wa kari u kaomba radhi kwa clip nyingineKatukana nn?mbna uzi hauna nyama huu? yaani unaeleza as if wote tumemsikia...
wanaotaka bangi ihalalishwe wajitafakariNimeisikia hiyo clip leo...nikashangaa
Nimeisikia hiyo clip leo...nikashangaa
Itumeni hiyo clip tusikie na sisi then tutachangia.Nimeisikia hiyo clip leo...nikashangaa
Katukana nn?mbna uzi hauna nyama huu? yaani unaeleza as if wote tumemsikia...
March 12, 2021 Maajaliwa alizungumza hayo akiwa Njombe baada ya sala ya Ijumaa, kutokana na maneno ya Samia Suluhu amesema Magufuli alianza kuumwa March 07, 2021.kassim majaliwa amatoa kauli hiyo lini??
na magufuli amefariki lini??
Labda kama shetani naye ana malaika basi atapata nafasi hiyoAmebadilisha tu mazingira ya kazi kwani alikoenda anakwenda kuendelea na majukumu yake ya kiuongozi as ussual ila tofauti ni kwamba huko ataongoza malaika
Pole na wiki nzito
Jana nimecheka sana baada ya kumsikia Mwanamuziki mmoja aitwaye Afande Rasta.
Hivi afande, huyo Mungu unayemtukana, wakati akimuumba jpm ulikuwepo? Je wewe ndiye uliyemuambia amuumbe jpm? Kama sio, iweje umtukane Mungu akiwa kwenye majukumu yake?
Ulitaka ufe wewe au afe nani?
Acheni tabia ya kujipendekeza kwa marehemu mkadhani mtapata sifa yeyote, haya mimi sipo
umeisema vyemaKutoka kuitwa Mungu na kabudi, Yesu na kangi sasa jina lake limepambwa upya anaitwa MAREHEMU na limempendeza sana.