TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kama kuua watu....kujenga Uwanja wa ndege Kijijini kwake ni Sawa hatapatikana kama yeye acheni huu ujinga

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Tunamlilia kwa sababu,pamoja na mabaya yake,lakini alikuwa na mema pia aliyotufanyia watanzania. Kwa mara ya kwanza Taifa la Tanzania tunapitia kwenye kipindi cha kufiwa na Rais akiwa madarakani, tuombe MUNGU Atuvushe.
Mema yasiyozingatia nakuheshimu uHAI wa MTU hayana maana yoyote

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa muafrika maana yake sio kuwa MJINGA

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mjinga katema nyongo yule dah ila uzuri ajaonesha unafiki kwa God
 
Kama vipi naye afe tu. 😬

Halafu kama ameumia sana akaiombe mamlaka imruhusu azikwe naye kaburi moja. Si Watemi wa Kisukuma wa zamani walikuwa wanazikwa na mtu mwingine aliye hai?

Jinga kabisa hilo lenye minywele kama mizizi ya mpapai.😬
 
Tatizo kubwa walilofanya ni kuficha ugonjwa wake

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Halafu huyu anaitwaje bado mwanamziki huku hafanyi mziki kwa sasa(kaishiwa mashairi)
 
Waliopotezewa wapendwa wao na Magu unawasemeaje

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu alikuwa ngangari kama Magu kuhusu Korona naamini angepata nafasi yakuinuka asingerudia tena zile blah blah zake

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kufa ni lazima kwa kila kiumbe hai Chief
Mzee Magu alisimama sawa katika kutetea Taifa lake dhidi ya Corona,
Ila haimaanishi kuwa hawezi kuumwa au kufa kama wengine
 
Apumzike tu kwa amani
TANZANIA ILIKUWEPO KABLA YAKE NA IMEBAKI BAADA YAKE
NA MAISHA YANAENDELEA
MUNGU AMPE KAULI DHABITI AENDAKO
AMEN

TULIMPENDA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…