dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Kama kuua watu....kujenga Uwanja wa ndege Kijijini kwake ni Sawa hatapatikana kama yeye acheni huu ujingaKiukwel gap ya Magufuli hakuna mtu ataliziba, kaacha viatu vikubwa mno hakuna vitakaemtosha.
Kuna wengine wanachukulia ‘Utani’ lakini seriously Tanzania tumepoteza mwanga uliokua unamulika mbali japo ulikua wenye kutuletea maumivu makali machoni petu.
Kuna siku tutasema wote kwa pamoja Bora Magufuli kwa sababu alikua mwenye maono mengi, makubwa na mazuri kiasi kwamba sidhani kama kuna mtu mwingine alie nchini mwenye maono kama yake
Rest In Peace Mr. President [emoji24]
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app