Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Sikiliza music katika simu/laptop yakoWakuu tupeane njia za kupunguza stress, kuweka akili sawa katika wakati huu wa maombolezo maana ukisema uwashe TV zetu habari ni hizo tu, ukiingia mtandaoni habari ni hizo tu, ukikaa mtaani ndo usiseme, unajikuta muda wote unasikitika tu.
Kwa kweli hizi siku ni nyingi mno zitatupunguzia seli hai km hatutotafuta njia mbadala ya kurefresh mind, tusaidiane hapa wadau.
Najinywea tu tubia twa baridiWakuu tupeane njia za kupunguza stress, kuweka akili sawa katika wakati huu wa maombolezo maana ukisema uwashe TV zetu habari ni hizo tu, ukiingia mtandaoni habari ni hizo tu, ukikaa mtaani ndo usiseme, unajikuta muda wote unasikitika tu.
Kwa kweli hizi siku ni nyingi mno zitatupunguzia seli hai km hatutotafuta njia mbadala ya kurefresh mind, tusaidiane hapa wadau.
Kusikiliza na kuona watu wanaolia kutwa siku 21 ni stress tosha mkuu, ubongo hauwezi kuwa sawa.Stress gani tena mkuu?
Nasikia na harusi zimepigwa marufuku
NasisitizaPiga nyungu,.
Kusherekea ni marufuku, kuna uwezekano hata kama unaangalia mpira kwemye kibanda umiza halafu ukashangilia timu yako inapofunga unaweza kuingia matatani.Nasikia na harusi zimepigwa marufuku
Ukionekana na furaha sana unaweza pia kuingia matatani.Tunalazimishwa kuomboleza eti?