TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
1.Aliwasema mabeberu waziwazi.

2. Mabeberu hawakumjibu.

3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.

4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?

5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.

Inafikirisha Sana.
Acha uboya.
Huyu hajauwana Na mabeberu.
Huyu ni corona imembeba.

Ina mana mabeberu wameua mapadri 25?
Masister 60?
Joh kijazi.
 
Nitajibu la wanafunzi wa Yesu. Alikuwa nao lukuki wanaume kwa wanawake. Lakini kati ya hao alichagua mitume12. Katika hao 12 wako ambao majina yalifanana, mfano Yuda walikuwa wawili, Iskarioti msaliti na mwingine.Paulo alikuja baada ya Yesu. Na kuna namna Yesu alimuita wakati kesha rudi mbinguni. Umeona usivyo ielewa Biblia nadhani.

Naomba kwanza tuziangalie aya hizi hapa chini kisha ndipo tuingie kujadili matatizo yaliomo kwenye versions za biblia.

1 Yohana 5:7-8:

Wapo mashahidi watatu: Roho, maji na damu; na hawa watatu wanakubaliana
Swahili New Testament

Naye roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu roho ndie kweli. kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, baba, na Neno, na roho mtakatifu, na watatu hao ni umoja kisha wapo watatu washuhudiao duniani] roho, na maji, na damu; na watatu hawa upatana kwa habari moja.

1 Yohana 5:7-8 (biblia yenye itifaki, toleo la 1997, swahili union version)

For there are three that testify: the Spirit and the water and the blood; and the three are in agreement.
New American Standard Bible

For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one.

8: And there are three that bear witness in earth, the spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one
King James Version

Jesus—the Divine Christ! He experienced a life-giving birth and a death-killing death. Not only birth from the womb, but baptismal birth of his ministry and sacrificial death. And all the while the Spirit is confirming the truth, the reality of God's presence at Jesus' baptism and crucifixion, bringing those occasions alive for us. A triple testimony: the Spirit, the Baptism, the Crucifixion. And the three in perfect agreement.

The Message

For there are three that testify:
the Spirit, the water and the blood; and the three are in agreement.
New International Version - UK

For there are three that testify: the Spirit, the water, and the blood—and these three are in agreement.
Holman Christian Standard Bible

There are three that give witness about Jesus. They are the Holy Spirit, the baptism of Jesus and his death. And the three of them agree.
New International Reader's Version

For three be, that give witnessing in heaven, the Father, the Son, and the Holy Ghost [For three be, that bear witness in heaven, the Father, the Word, or Son, and the Holy Ghost]; and these three be one.
And three be, that give witnessing in earth, the Spirit, water, and blood; and these three be one.
(Wycliffe New Testament)

So there are three witnesses in heaven: the Father, the Word and the Holy Spirit, and these three are One; and there are three witnesses on the earth: the Spirit, the water, and the blood; and these three agree [are in unison; their testimony coincides].

The Scriptures

Tatizo la Kutafsiri


Wataliano wana usemo usemao "Wafasiri ni waongo". Msemo huu una ukweli ndani yake na umetokana na uchunguzi makini. Kuchukua kitu fulani kilichoandikwa katika lugha fulani na kujaribu kukiingiza katika lugha nyingine huwa inaleta matatizo kwa sababu mara nyingi wafasiri hupambana na maneno katika lugha moja ambayo hayamo katika lugha nyingine. Neno jingine badala yake lazima litumike na matokeo yake ni kubadilika kwa maana.

Agano la kale mwanzo kabisa liliandikwa kwa Kiebrania, lakini lilitafsiriwa katika karne ya tatu kwenda katika lugha ya Kigiriki kwa ajili ya Wayahudi waliokuwa wanaishi nje ya Palestina (ambao walikuwa wanaongea Kigiriki - badala ya Kiebrania). Tafsiri hii iliitwa "septuagint" na ilitumika sana hata na wakristo wa mwanzo.

Agano Jipya liliandikwa katika lugha ya Kigiriki lakini maadam Yesu mwenyewe alitumia lugha ya kiaramaiki, hii ina maana kwamba maneno yake yalilazimika kutafsiriwa na hivyo kusababisha uwezekano wa makosa.

Tafsiri ya kigiriki iliyokuwa ikiitwa Septuagint iliunganishwa na maandiko ya Agano Jipya yaliyokuwa katika lugha ya kigiriki katika karne ya nne. Maandiko haya yaliyounda Biblia kamili sasa hivi yanaeleweka kama "Codexsinaiticus" na "Codex Vaticanus" na hizi ndio nakala za maandiko ya zamani kabisa zilizopo leo. Hakuna maandiko ya mwanzo kuliko haya yaliyonusurika kutupiliwa mbali.

Katika karne ya nne, Biblia ilitafsiriwa kwenda katika lugha ya Kilatini na Mt. Jerome. Na hii ilibakia kuwa lugha ya Biblia hadi karne ya kumi na sita ambapo watu wa Mageuzi kama John Wycliffe, William Tyndale na Martin Luther walipoifasiri Biblia katika lugha mbalimbali za watu - jambo ambalo lilikuwa haliruhusiwi kabisa na viongozi wa kanisa wa wakati ule na ili kufanikisha lilimgharimu Tyndale maisha yake. Walifanya hivi ili kuwazuia watu kuyasoma, kuyaelewa au kuyahisi maandiko yao Matakatifu - haya yalifanywa makusudi na viongozi wa kanisa.

Tafsiri nyingine zilifuatia ndani ya muda mfupi. Karibu na mwisho wa karne ya kumi na sita kulikuwa na tafsiri za lugha mbalimbali na tafsiri mbalimbali za lugha moja ambazo zilileta malumbano na mabishano makubwa jambo lililomfanya Mfalme James I wa Uingereza kuteua kamati ya wanazuoni hamsini na nne ili kuandaa toleo "rasmi" na litakalotambulika na mamlaka. Watu hawa (kamati) walizisoma tafsiri zote zilizokuwepo wakati ule na, mnamo mwaka 1611, walitoa toleo lililoitwa "King James Versions of the Bible" yaani toleo la Biblia la Mfalme James - ambalo lilikuwa ndio toleo rasmi miongoni mwa Wakristo kwa mamia ya miaka.

Tatizo la uharibifu na upotoshaji lililoambatana na kutafsiri liliisha mwaka 1611, kwa kupatikana toleo la King James Versions of the Bible, tatizo la marudio... "kuiboresha" au kuifanya kuwa ya "kisasa" limeikabili Biblia leo hii.
 
Kiukweli nina imani na matumaini na Mama, taifa litapata furaha na mifumo kusimama badala ya mtu.
 
1.Aliwasema mabeberu waziwazi.

2. Mabeberu hawakumjibu.

3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.

4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?

5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.

Inafikirisha Sana.
Kwa hiyo?
 
1.Aliwasema mabeberu waziwazi.

2. Mabeberu hawakumjibu.

3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.

4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?

5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.

Inafikirisha Sana.
Corona siyo mjomba wala shangazi. Tulijisahau mno tukaikejeli. Ikameza vidagaaa weee, ikarudi kwa samaki wa kati weee ikahamia kwa Mapapa wakaidi.
Tuchukue tahadhari Corona haina rafiki.
 
Tuchukue tahadhari wote.. COVID 19 iko,inaua. Serikali ya mama Samia itachukua njia tofauti kujihami na corona. Baada ya msiba tutaona namna tofauti. Waziri wa afya arudi wodini kuhudumia wagonjwa,,Kabudi ,mwigulu et al warudi majimboni kutatua kero za wapiga kura
 
Inashangaza kweli raisi alikuwa mwanasayansi media asiyeamini kwenye sayansi???? Africa bado safari ni mrefu sana
Wapambe walichangia sana. Moja ya udhaifu mbaya sana wa Magufuli ilikuwa ni kuteua wasaidiazi wake. Aliamini mtu anayesema ''yes, yes sir'' na kumsifu kwa kila kitu ndiye kiongozi mzuri. Ukionekana kwenda kinyume naye hata kama uko sahihi anakuona hufai. Matokeo yake akawa na wapambe badala ya wasaidizi wanautumia utalaam. Namna hii ni lazima mwisho uwe mbaya.
 
Hivi Duterte amefariki?
Yupo!huyu anaishambulia USA na kuvunja mikataba bila kujali wamarekani kwa malelfu wanaishi kwake mpaka kambi ya jeshi la marekani ipo hapo.na Kama haitoshi ameruhusu chanjo Sputnik V ambayo inatengezwa Russia wakati marekani wanaipiga Vita mataifa yasiiruhusu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom