TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
1.Aliwasema mabeberu waziwazi.

2. Mabeberu hawakumjibu.

3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.

4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?

5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.

Inafikirisha Sana.
Magufuli kuidharau Corona na kuona watu wake wa karibu wanapukutika yeye akaamua kuvua nguo kabisa na kujitosa kwenye hilo dimbwi. Ilikuwa ni suala la muda tu! Ilikuwa ni sawa na kuangalia pambano la Cheka na Joshua halafu utegemee muujiza
 
Ila kuna vitu vinashangaza sana...yaani unazinanga chanjo za mabeberu huku ukiishi kwa kwa kutegemea Peace Maker kutoka kwao,achana na chanjo ulizopata utotoni....hapa ndo utajua kwanini Mfalme Suleiman alipo omba "Hekima" Mungu alimpa na utajiri.
 
1.Aliwasema mabeberu waziwazi.

2. Mabeberu hawakumjibu.

3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.

4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?

5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.

Inafikirisha Sana.
Ukiona adui anakutafuta, unachukua tahadhari. Adui ambaye ni korona yeye alimdharau na hakujikinga kabisa wakati ana matatizo ya moyo ambayo ukipata virusi vya korona tu, ww ni byebye. Na watu waliomzunguka walikuwa wanaondoka tu. Tusiandike upuuzi, kifo chake amekileta mwenyewe FULL STOP
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom