TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Alianza vizuri tatizo viongozi wake wengi walikua wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa,wengi wao hawakua wazalendo na wachapakazi kama yeye,wengi walikua anang'ata na kupuliza na ngozi zao tutaziona baada na msiba huu
Ndio waliompotosha walimpa habari Ili kulinda matumbo yao.
Angewasikiliza wapinzani angekuwa bora zaidi.
 
Dikteta alituumiza sana Watumishi wa Umma.
Miaka 6 hakuna nyongeza ya mshahara wala kupanda madaraja.
Mkuu hata katika familia yako nadhani unabana bajeti ili kufanikisha jambo fulani la kimaendeleo, unataka starehe wakati unajua uwezo wako ni wa mlo mmoja embu tuache mawazo finyu watz
 
Baada ya kukosa nafasi ya kuaga uwanjani nikasema ngoja niwahi uwanja wa ndege. Nilichokiona huku watu ni wengi mno wengine wametoka kwa miguu uwanjani wa Uhuru wakisindikiza msafara. Huzuni imetawala hapa ni vilio tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom