Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
So what kwa sauti ya Mpendwa Wetu.ujinga wa mpendwa wenu haujawahi kunikosesha amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what kwa sauti ya Mpendwa Wetu.ujinga wa mpendwa wenu haujawahi kunikosesha amani
umepanic....relaxSo what kwa sauti ya Mpendwa Wetu.
Ndio waliompotosha walimpa habari Ili kulinda matumbo yao.Alianza vizuri tatizo viongozi wake wengi walikua wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa,wengi wao hawakua wazalendo na wachapakazi kama yeye,wengi walikua anang'ata na kupuliza na ngozi zao tutaziona baada na msiba huu
Maisha ya ndumba mabaya Sana wanakupa matumaini hewa ikiwemo kukuambia utaishi milele.Wasukuma wenzangu walimwita Jidabhunga .Yaani asiyeoza. 🤣
Kwao labdaNa Maalim Seif atengewe siku yake
Habari ya mtu aliyehai huishia pale anapopoteza uhai.Pumzika Kwa Amani JPM.
Walalahoi wanaelewa kwanini awe magufuli.Nyerere day inatosha. Tukianza na Mwinyi day, Mkapa Day Kikwete Day. Ni nyingi mno.
Iwekwe kwa wachachekila rais akifa tukaweka day yake mwaka mzima hatutafanya kazi
this is a total nonsense
Mkuu hata katika familia yako nadhani unabana bajeti ili kufanikisha jambo fulani la kimaendeleo, unataka starehe wakati unajua uwezo wako ni wa mlo mmoja embu tuache mawazo finyu watzDikteta alituumiza sana Watumishi wa Umma.
Miaka 6 hakuna nyongeza ya mshahara wala kupanda madaraja.
Wala sijapata ahueni,naona watu wanampigia debe Kinana na team yake warudi.Tunarudi kulekule kwa bora hata Magufuli.Na wewe naona umepata ahueni ukweli naujua. Ila nilikwambia lakini