wachache akina nani?
Yaani huyu mtu amewaachia tabia mbovu sana ya double standard aisee....this is a big problem
kwahiyo kuna marais nyie judges ndio kwa utashi wenu mchague yupi apewe siku na nani asipewe siku ila ianzie na Magufuli ni bora kuliko wa zamani na watakaokuja nyie ndio mmeona?
tulidhani akifa tabia mbaya kama hizi zitakufa ila ndio kwanza zinaanza
Tabia mbovu za kidikteta,double standards,kuteka watu,etc mnaziendeleza,aisee hiki kirusi kiwaue woooote kabisa...
We are still in this nonsense japo mwanzilishi kafa